Recent content by YEHU THE KING

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Maajabu yatokea alipokuwa akizikwa Nabii Eliya Munuo wa Mbezi Beach

    Hapa bado tunadanganyana kabsa!! Mungu si mwanadamu hata aseme uongo,wala si mwanadamu ajute! Huu ni uongo mkubwa sana anayeamini kuwa ishara hizi zilitokea basi amedanganywa mchana kweupeeeeeee! Yesu ndiye jibu sahihi sio watu kama huyu ambaye anapotosha watu hata wengine wanaamini uongo ka huuu.
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete: Nipo tayari kukutana na UKAWA

    :clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:Hapa unastahili kupigiwa makofi!UKAWA ni watu wa TZ ambao maoni yao ni muhimu sana kwa upatikanaji wa katiba mpya. Huwezi kuwabagua kwa namna yoyote ile.Katiba mpya inatokana na maoni ya wananchi wengi.
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Mtu kapigwa risasi Mlimani City Dar es salaam

    :llama:Poleni wafiwa!
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Sumaye na Ngeleja wahojiwa na Kamati ya Maadili, Membe adaiwa kukacha

    :confused::)ppppppppppppppppppppa
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Jaji Bomani umenena:CCM waachane na wazo la Serikali 2

    Jaji Bomani yuko sahihi kabisa. CCM=TANU+AFRO-SHIRAZ vyama ambavyo vimekuwepo tangu miaka ya 1950s. serikali tatu ni chagua la wananchi si la CCM.ni kosa kwa chama kuteka agenda ya katiba na kuifanya yake. Wananchi ndio waamuzi number 1 sio chama chochote.
Back
Top Bottom