Recent content by Yehosadaki

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Paypal: Upotevu wa mapato na ajira Tanzania

    Let's hope that this time our government will take into consideration this opportunity as raised by the
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Paypal: Upotevu wa mapato na ajira Tanzania

    Let's hope that this time our government will take into consideration this opportunity as raised by the main stakeholder to be!!!!
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Ventilation on MCC move is primed on wrong assumptions

    A scholarly article, for scholars. Period Thanks Mr Mafuruki
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri mkutano wa East Africa Oil and Gas Summit 2016: Bosi wa TOTAL azidi kupigilia msumari

    Dhahabu nyeusi ni noumah! Aisee!!!
  5. Y

    JamiiForums Tanzania "How Europe Underdeveloped Africa," By Walter Rodney!

    Mhhhh! Wasifike huko sasa kiongozi!
  6. Y

    JamiiForums Tanzania "How Europe Underdeveloped Africa," By Walter Rodney!

    Mhhhh! Wasifike huko sasa kiongozi!
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa wana CCM juu ya MCC ni dharau na udanganyifu kwa walipa kodi

    Kama taifa bado tunahitaji msaada wakati tunajipanga kujitegemea, kwani bajeti yetu haijitoshelezi kwa 100%. Kama mtumishi kwenye sekta ya Afya na miradi mingi kwenye eneo hili ni msaada ya wafadhili, sioni umuhimu wa kujifanya haraka hivi tunaweza kusimama wenyewe. Tukiendelea hivi tusije...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania TUHUMA ZA RUSHWA BUNGENI: Wabunge Kangi Lugola, Victor Mwambalaswa na Sadiq Murad waburuzwa mahakamani

    Ubunge na madaraka mengine siku hizi yamekua ni sehemu za ulaji na sio utumishi.Na ukiangalia wanavvyowekeza fedha nyingi ili wapate hiyo nafasi, lazima wafanye mipango michafu ili hela irudi na faida! Kaaaazi kweli kweli!
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Huo sasa ni ujuha tu! KATIBA LAZIMA IHESHIMIWE!
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wafukuta Chuo cha Ufundi Arusha (ATC)

    Tuhuma nzito! Sadly tutaanza kuingiza kaudini! Poor Tanzania! Je tutatoboa???
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Uhakiki mdogo umeshabaini watumishi hewa 1,680 Serikalini!

    Mishahara kumi na saba??????? Unbelievable!!!! Kama mtu mwenyewe ni untouchable basi ana ubia na mtumbua MAJIPU!!!!
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Suala la Kodi TRA: Magufuli, kwa mwenendo huu utashindwa tu

    Ndugu weka akiba ya maneno! TRA ni JIPU!!!!
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Suala la Kodi TRA: Magufuli, kwa mwenendo huu utashindwa tu

    TRA ni tatizo kubwa. Hawana mazingira rafiki kwa tunaoagiza magari kabisa! Labda wabadilike awamu hii, sasa ukiangalia walivyobanwa kuhusu ulaji wao!!! Let's wait and see
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nje adai Serikali imesikitishwa na maamuzi ya MCC

    Ukweli ni kwamba huo msaada kama Taifa, Tanzania tunauhitaji sana, na ungeweza kusaidia Ku boost kasi ya miradi kwa Serikali ya Magu. Hapa tusitie siasa. Wamarekani wakati wanasitisha walishatoa angalizo kwmba moja ya sababu ni ile sheria ya January Makamba a.k.a CYBER CRIME ACT, ambayo kimsingi...
Back
Top Bottom