Hakuna haja ya kumlaumu mfiwa,
Ni hakika matibabu ya Hayati yanaweza kuwa yamegharimikiwa na serikali kwa kuwa kwa nafasi yake anastahili hivyo
Lakini,ni kweli hatujui kuwa kila pesa ya serikali inapotolewa kufanya jambo lolote inasewa "Mama ametoa" na sifa zote zinaenda kwake? Kwa hiyo kwa...
Maswali yako yanaonesha dalili ya kama haukuwepo Nchini ndiyo umekuja toka ughaibuni..
Bahati mbaya sana jamii haiwezi kuweka rekodi ya tarehe ya kila bidhaa ilipopanda bei,nadhani unataka kutumia kichaka hicho kuficha udhaifu wa baadhi ya watu.
Kuanzia bajeti mpya ya serikali 2021/2022 ndiyo...
Kama kila chama kinao uhuru wa kuamua mambo yao,imekuaje hao vyama vingine vije kuzungumzia maandamano yaliyotangazwa na chama kingine?
Nyie vyama vingine hamuoni kuwa huo ni uhuru wa chama kilichotangaza maandamano ambao mnataka kuuingilia?
Maandamano yaliyotangazwa na chadema,ni dhidi ya...
Nadhani tangu July- 2021, kwenye bajeti mpya ya akina Mwigulu,hadi sasa hakuna kitu hakikupanda bei..
Labda na wao wameamua kujipandishia nauli ili kukidhi manunuzi ya mahitaji haya yaliyopanda bei kila eneo
Hatimaye madhara ya kutaja taja Rais katoa hiki,Rais katoa kile yameanza kudhihiri.
Zamani walikua wanasema serikali imetoa,maana yake ni wote hao uliowataja na wananchi wakiwemo ndiyo wenye hizo pesa.
Madhara zaidi yatakuja siku serikali itatoa pesa za kujenga barabara au mradi wowote mahali...
Huyo unaesema anatumia hovyo baada ya kupitishiwa na Bunge,yeye hana uchungu na jasho la watanzania? Siyo nyie mnaosema kila siku kuwa anauchungu sana na sisi?
Mara nyingi utakuta watu wanalalamikia baadhi ya matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi, watakuja watu wanasema "ziko kwenye bajeti"
Kumbe hoja ni kwamba hao waandaa bajeti na wapitisha bajeti wanawekeana pesa hadi za ziada kwenye bajeti zao..
Kwanini wasiweke bajeti za kutumia kwenye mambo...
Ni miaka hii hii,hadi kipindi cha masika tumeona mgao wa umeme...mnavisingizio vingi mno.
Unasema mvua zitanyesha wakati masika ya mwaka huu kulikuwa na mgao???
Tangu makamba alivoingia kuwa waziri,hizo stori zenu za matengenezo mmeimba sana,mkisema et kuna mtu alizuia matengenezo,mlivoona...
Doto awe mkali na hawa jamaa vinginevyo watamchezea sana..
Tunashukuru ile kauli yake "watanzania wanataka umeme"..tangu aseme hayo maneno huku tuliko sisi umeme tangu walivorudisha jumamosi usiku hawajakata tena hadi sasa..
Kikokotoo ilikua kianze mwaka 2018,baada ya malalamiko mengi Magufuli akakisitisha ( hata kama tutasema yeye ndiye alikianzisha).
Kikokotoo hiki kimeanza 2023, sasa hapa nani wa kulaumiwa kama siye huyu anaeahidi kuwa msikivu juu ya kikokotoo..
Najua utasema hajakianzisha yeye,lakini nguvu...
Ngoja tusubirie huyo mpya atafanyaje,ingawa bosi wao juzi kawasisitizia wawe wapole,upole ni silaha kubwa,upole unakufanya uamue mambo kwa busara..ila tuwaombee wote maana wakifanya vizuri kwenye nafasi zao,ndiyo mafanikio yetu sote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.