Recent content by yego chikaka

  1. Y

    Azam Angalieni watu wa kuwahoji

    Kama ni story za vijiweni wewe tuwekee story za ofisini uweke kwenye media yako ya uhuru fm we nae ni mpotoshaji tu
  2. Y

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Anatupeleka CHATO maandalizi ya kutupokea yameshaanza uwanja wa ndege wa chato ukiisha tu safari inaanza ndege za kutusafirisha zinaongezwa, hapo si powaa
  3. Y

    Mkuu wa mkoa wa Arusha akimbiwa na mke wa Marehemu

    Mjane katoa somo ZITO vipi kajamaa hakajanywea kama piriton nadhani kamdomo kalipauka kakakaukiwa na mate kwenye koromeo kama ni kweli ngoja KAKOME
  4. Y

    Sababu zipi zilizomfanya rais Magufuli kutokwenda Zanzibar?

    Kwenye ufunguzi wa jimbo la DIMANI alisikia MAALIM akisema haki ipo karibu mambo mengine si ya kuongelea kwenye mikutano, nadhani ilimuogopesha (mshindi halali atangazwe uchaguzi wa Oktober 25/2015 wazungu wamekomalia inawatia preshaukichangia na mamikopo ya bajeti kwenye mabenki ya binafsi...
  5. Y

    Rais Magufuli: Serikali yangu haitayafumbia macho magazeti mawili yanayoandika habari za uchochezi

    Huyu jamaa afikiriagi kutuua kweli iko siku uzalendo utamshinda ataonyesha hisia zake kwa wakosoaji wake mbona hawi kama watangulizi wake? Duhhhh kazi tunayo
  6. Y

    Zitto Kabwe: Rais umeamua kuchagua upande wa wanaokupa taarifa za uongo na majungu, muda utasema

    Kuna mijamaa ya sisiemu huwa inasema huyu jamaa ni copy kama nyerere niwaulize tena hivi mapigo haya nyerere nayo alikuwa nayo kweli. Haya mapigo tunayo pewa ni ya mbwa mwizi masisiemu mlicho tufanyia wa TZ sicho na hasa JK na BENJA
  7. Y

    Mbunge wa Kilombero(CHADEMA) Mh. Lijualikali, afungwa jela miezi sita

    Siasa za nchi hii tunarudi nyuma kwa kasi ya ajabu badala ya kwenda mbele kwa kasi hiyo kuna neno ZITO KABWE aliliongea lakini alikuchukuliwa kwa uzito sasa naona ZITO alirudie kwa msisitizo linahusu majanga ya mfano wa Samuel Doo marehemu (Liberia)
  8. Y

    Hivi leo Lowassa asimame kugombea Urais nani wa kumshinda?

    Dume zima unaandika mistari ya kujipendekeza unaudhalilisha ukoo wako mwanaume ajipendekezi hovyohovyo
  9. Y

    Mzee wa Upako, CHADEMA hawana muda wa kukuchafua, Mungu ameamua kuanika tabia yako

    Unaweza kukuta siku ya SAKATA lake lilivuta hata na GANJA
  10. Y

    Askofu Mokiwa wa Anglikana agoma kujiuzulu baada ya kuvuliwa Uaskofu

    Mke wa mtu ni sumu duhh kasombwa na maji ya yule Jamaa aliyetaka watoto wake wasitoroshewe ulaya duh noma sana
  11. Y

    Namna mchezo wa ku-Bet unavyofanana na Matumizi ya Madawa ya Kulevya

    Nyie macheza makamali kazi gani usiokuwa na uhakika utapata unachokikusudia hiyo ni kamali usiihalalishe kuwa ni kazi ya uhakika angalau mseme ni BURUDANI yaani starehe kwenu kama maunga. Mleta uzi uko sahihi
  12. Y

    Kwaheri Mbowe katika CHADEMA

    Duhhh masisiemu MBOWE kawakoroga ubongo mpaka hamjitambui itafikia hatua mtaandamana mkidai ajiuzuru ili mpate kupumua na bado KATA FUNUA inawahusu
  13. Y

    Mzee wa Upako: Lowassa hawezi kuwa Rais 2020, CHADEMA wanahusika kunichafua

    Hili LILEVI linasifa ya ubabe toka lilivyopata tuhera twa SADAKA sasa linatuchokoza chadema ndo tulilituma likalewe limtukane jirani yake na huyo Lowassa anahusika vipi na MAULEVI yake TUKOME na MANDUMBA yako tunasubiri uwauwe hao waandishi tarehe ikifika kama ulivyoahidi tukuchome moto kama KIBAKA
  14. Y

    Hii ni ishara tosha kuwa rais magufuli atakuwa na shida uchaguzi wa mwaka 2020

    Naona ITV wanapotezea mafuriko ya zenji dalili ya kutangaza hilo tukio la zenji naona hakuna tumeikosea nini jamani yale yale ya star
  15. Y

    Mh Lwakatare, jibu uliloambulia limetengeneza historia kwako.

    Akufurahishwa na ushangiliaji ule kutokana na umati wa watu uliokuwepo ikabidi awambie wanyooshe mikono duhhh noma kinoma
Back
Top Bottom