Recent content by Yeezus_fcb

  1. Yeezus_fcb

    Demokrasia imeshindwa Afrika kwa sasa mapinduzi ndiyo suluhisho

    Kama kweli utawala wa kijeshi ndo suluhisho basi Africa ingekua ndo bara lenye maendeleo kuliko hata ulaya. Africa ndo bara linaloongoza kuwa na mapinduzi ya kijeshi lakini Bado ni maskini sasa wewe mwenzetu unaona suluhisho ni kuongeza mapinduzi ya kijeshi sio kupunguza😂
  2. Yeezus_fcb

    Agenda ya Josephat Gwajima kuhusu benki ya mbegu za Asili izingatiwe

    Badala ya kuweka ulinzi kwenye mbegu za asili kwanini usiseme serikali iwekekeze na sisi tutengeneze mbegu zetu ambazo ni za kisasa pia? Technology Kila siku inaenda mbele hairudi nyuma. Mbegu za kisasa ni Bora kuliko za kizamani. Zinaweza kuvumilia ukame na magonjwa. Ukitaka kutumia mbegu za...
  3. Yeezus_fcb

    Aliye Rebrand TigoPesa kuitwa Mixx by Yas afukuzwe kazi

    Mfano mwingine ni kampuni ya mafuta ya shell. Jamaa walikua na jina kubwa kiasi kwamba mpaka Leo hii watanzania vituo vya mafuta vyote wanaviita shell. Ukishakua na brand kama hiyo biashara yako inajitangaza yenyewe.
  4. Yeezus_fcb

    Aliye Rebrand TigoPesa kuitwa Mixx by Yas afukuzwe kazi

    Ni sawa na Elon musk alivonunua Twitter na kuiita X. Zamani ilikua ukisema mtu flani ame "tweet" moja kwa moja watu wanajua unazungumzia Twitter ila saivi zinaitwa "post" sio tweet kwaio inabidi utoe maelezo mtu amepost wapi. Facebook, Instagram, Whatsapp X wote wanatumia neno "post". Brand...
  5. Yeezus_fcb

    Dawa ya Corona ni kuachana nayo

    Kwan malimao na ndimu zimefanyiwa utafiti na nani? We kama unaona chanjo hazijafanyiwa utafiti basi achana nazo tu ila usifosi watu wafate ushauri wako wakati wewe mwenyewe hakuna unachoelewa.
  6. Yeezus_fcb

    Watu ambao asili yenu ni mjini, hamkujui kijjini kwenu, mnalichukuliaje hili swala?

    Kumbe na wazungu ikifika mwisho wa mwaka wanaenda kijijini kwao kupewa matunguli
  7. Yeezus_fcb

    Watu ambao asili yenu ni mjini, hamkujui kijjini kwenu, mnalichukuliaje hili swala?

    Dunia ni kubwa sana aisee. Tembea uone watu wanavoishi utajifunza mengi kuliko kurudi kijijini sehem ambayo hawakujui wala huwajui eti kisa babu yako ndo alipotokea. Mzungu katembea dunia yote katawala karibu kila nchi na hata kabila lake halijui. Saiv wanatengeneza marocket wanataka kwenda...
  8. Yeezus_fcb

    America na Ulaya watu weusi bado wapo, Je kwa nini Uarabuni hawapo?

    Raia weusi wapo wengi tu hasa nchi za gulf ambapo ndio biashara ya utumwa ilipofanyika sana. Kama uliangalia kombe la dunia timu ya taifa ya saudi arabia karibu nusu ya wachezaji ni weusi au wana asili ya ki africa. Oman, qatar, yemen zote zina waarabu weusi wengi tu. Sent using Jamii Forums...
  9. Yeezus_fcb

    Hezbollah waonyesha makombora yao

    Hilo ni anti tank missile ila ni missile aina ya spike ambalo ni la wa israel sio marekani. Sijui Hezbollah wamelitoa wapi maana al qaeda na isis sio rahisi kupata silaha za Israel. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Yeezus_fcb

    Mohammad Dewji shut that little mouth up!

    Alichukua anazungumzia kanye ni utumwa wa kiakili. Hata wazungu na waraabu wenyewe mababu zao walikua ni watumwa zamani lakini ni waafrica tu ndo hadi leo tunalaumu matatizo yetu kwa utumwa au ukoloni. Ndo mana kanye anasema "We're mentally imprisoned."
  11. Yeezus_fcb

    Israel Yalisambaratisha Jengo la Ofisi Za Hamas Gaza Kuwa Kifusi

    Mimi sisemi israel ni wakorofi ila anachosema netanyahu ni kinyume na matendo wanayofanya israel.
  12. Yeezus_fcb

    Israel Yalisambaratisha Jengo la Ofisi Za Hamas Gaza Kuwa Kifusi

    Ndo mana nikauliza mbona wapalestina hawana silaha lakini israel inawashambulia? Israel juzi hapa si ilipiga na kuuwa waandamanaji huko gaza?
  13. Yeezus_fcb

    Israel Yalisambaratisha Jengo la Ofisi Za Hamas Gaza Kuwa Kifusi

    Kwaio wanaposema "put down their weapons" manaake ni kitu chochote kinachuweza kuuwa hata kisu au jiwe? Maana wapalestina hawana silaha zozote za kisasa za kuitisha israel lakini israel bado wanaendelea kuuwa wapalestina kila siku
  14. Yeezus_fcb

    Israel Yalisambaratisha Jengo la Ofisi Za Hamas Gaza Kuwa Kifusi

    Sasa mbona wapalestina hawana weapons zozote zaidi ya vi rocket vya kutengeneza wenyewe. Israel wana kila aina ya weapons, ndege, air defense za kisasa kutoka marekani lakini bado kuna violence. Au weapons gani anaongelea bwana netanyahu?
  15. Yeezus_fcb

    Saudi Arabia imempa saa 24 balozi wa Canada nchini humo.

    Viongozi wa kiarabu na kiafrica ukitaka kugombana nao waambie kuhusu haki za binadamu.
Back
Top Bottom