KIBAYA WASOMI WA HILI JESHI WAMESAHAULIKA KABISA YAN UNAKUTA MTU ANA DEGREE ANALIPWA KAMA FORMFOUR WAKAT POLIS UKIWA NA DEGREE UNALIPWA VZR KULINGANA NA ELIMU YAKO HEBU WAKUU WAHUSIKA SHUGHULIKIEN HILII MAANANLINAWAVUNJA MOYONNA KUONDOA ARI YA KUJITUMA KAZIN
Sent using Jamii Forums mobile app
SIO KUTOA PESA TU PIA MASLAI YA ASKARI YAANGALIWE KAMA POSHO YA MAJI UMEME PANGO YA NYUMBA
LAKINI WAZINGATIE WASOMI NDANI YA JESHI USUSAN HATA KATIKA KUTOA MAWAZO CHANYA YA KULUPELWKA JESH MBELE TUWAPE NGUVU ASKAR WA CHINI KUELEZA CHANGAMOTO PILI JESHI ZIFANYIE KAZI CHANGAMOTO HIZO PIA KUWE NA...
Natafuta dereva wa bajaji kwa hapa Dar es salaam. Bajaji zipo mbili maeneo ya Temeke Mwisho, dereva awe mwaminifu na hesabu kwa siku elfu 15,000 .
Mdhamini mmoja muhimu, kwa maelekezo zaidi piga 0713 393 591 au zymiwa@hotmail.com
Ahsanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.