Asante kwa kunitia brother
Kuna ugumu gani kuandika taarifa zote muhimu.....Habari wanajamvi,
Natatafuta gari ya kuendesha Uber kama tittle inavyosema.
Nimeshafanya kujiandikisha Uber .
Tafadhali kwa yoyote anayehitaji driver ,Niko hapa.
Thanks
Mie napatikanan dar es salaam ,Tanzania,na ndio ntaifanyia hapa hiyo shughuli,mie naishi tegeta.Kuna ugumu gani kuandika taarifa zote muhimu.....
Hiyo kazi utaifanyia wapi? China Russia, Kisumu, Nanjilinji, Namtumbo au Sayari ya Pluto?
Unajikosesha kazi kwa makosa madogo madogo tu..
Tatizo, madereva wengi ni pasua vichwa.Habari wanajamvi,
Natatafuta gari ya kuendesha Uber kama tittle inavyosema.
Nimeshafanya kujiandikisha Uber .
Tafadhali kwa yoyote anayehitaji driver ,Niko hapa.
Thanks