Recent content by ydon

  1. ydon

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho kabisa Kuiamini hii Taarifa japo kwa 50% namkumbali na namheshimu aliyeitoa

    Wanasahau kila boss ana boss wake.
  2. ydon

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me

    Happy birthday Leejay.
  3. ydon

    JamiiForums Tanzania AUFAFANUZI KUAGIZA TV KWA BEI YA VIWANDANI

    Safi sana mkubwa
  4. ydon

    JamiiForums Tanzania AUFAFANUZI KUAGIZA TV KWA BEI YA VIWANDANI

    Haya mambo yanahitaji umakini mkubwa sana
  5. ydon

    JamiiForums Tanzania AUFAFANUZI KUAGIZA TV KWA BEI YA VIWANDANI

    Sawa, jeh nikisema niagizie kwa pesa yako siku mzigo ukinifikia nikulipe pesa ya kununua pamoja na usafiri nitakuwa nakosea???
  6. ydon

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Julius Kambarage Nyerere International Aiport vyooni hakuna Maji Aibu sana nchi yetu

    kuna mambo yanatia hasira hapa duniani.
  7. ydon

    JamiiForums Tanzania Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi

    huu ni ukweli kabisa,
  8. ydon

    JamiiForums Tanzania Hii changamoto ya majungu kwenye ajira mnapambana nayo vipi wenzangu?

    Hii nzuri sana mkuu.
  9. ydon

    JamiiForums Tanzania Hii changamoto ya majungu kwenye ajira mnapambana nayo vipi wenzangu?

    Nilikutana na kitu ya aina hii kipindi nimeajiriwa aisee kidogo nidate. Ila leo namshukuru sana Mungu asilimia kubwa wapo upande wangu. Muhimu jitahidi kufanya kazi zako kwa weledi wa hali ya juu taratibu utaanza kuona utofauti japo mwanzo mambo yatazidi kuwa mengi kwa hao machawa wa boss...
  10. ydon

    JamiiForums Tanzania Hivi naweza kujenga nyumba kwa mshahara wa laki 5 kwa mwezi?

    daah umempa code ngumu sana hii mkuu,
  11. ydon

    JamiiForums Tanzania TPDF malizieni kazi, M23 wamejikusanya karibu na nyumbani kwao Kanyabayonga na wapo Kama wote!

    Kuna mengi huyajui mkuu, ni vyema kukaa kimya kuliko kuongelea fani usiyokuwa na uelewa nayo.
  12. ydon

    JamiiForums Tanzania MWAMPOSA: Unforgettable overnight tutumalizana na HIV, Nuksi, Mikosi, Mabalaa, Siasa na kama kila unachokifanya hakifanikiwi Kawe inakuhusu

    Kuna upuuzi mwingine lazima uwe kichaa ndio uweze kuufanya. Kwamba nataka kwenda nje ya nchi nikipeleka jina napewa nauli na kila kitu au ni vipi??
  13. ydon

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna aliyekutana na hii kitu shuleni au ni mimi tu?

    Mbona huyu ni mimi mkuu, ila tofauti mimi nilikuwa sichoti maji. Nilikuwa naenda dukani kwao kununua kitu chochote hata kama sina shida nacho.
Back
Top Bottom