Recent content by YCS

  1. Y

    Sitta: Warioba amejitakia mwenyewe

    warioba na watanzania wengine wanayo haki ya kujadili katiba mpya inayopendekezwa, ili kuwapa watu fursa ya kuielewa vizuri kabla ya kuipigia kura ya ndio au hapana. katika nchi ya kidemokrasia kama Tanzania kuvumiliana ni jambo muhimu na si la kupuuzwa kama ilivyo tokea hapo jana. tujitafakari...
  2. Y

    Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

    nauliza wadau wapi nitapata vitabu kwa bei rahisi, vitabu vya diploma
  3. Y

    Matokeo makubwa sasa katika elimu tutayapata kweli kwa mwendo huu?

    kumekuwa na utoaji holela wa elimu ya sekondari usiozingatia ubora na tija kwa taifa. Mbali na serekali yetu kuwa na mipango mikakati mizuri ya kuboresha elimu kwa ujumla bado wapo watu wamekuwa wakiichezea elimu hiyo kama kichwa cha mwendawazimu, hayo ni baadhi ya mabango ya vitambaa...
Back
Top Bottom