Recent content by Yaz Menellik 127

  1. Yaz Menellik 127

    Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

    Kuolewa sio lazma japo inaongeza heshima- Mwana FA
  2. Yaz Menellik 127

    Swali kuhusu Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu

    Wanatoa mbona...tafuta guideline yao wameainisha kla ktu na law school imeorodheshwa na taratibu za kufuata.
  3. Yaz Menellik 127

    Nimechoka na hii mitandao uchwara kila siku naunga mb zinaisha tu

    Hamia TTCL au Voda, TTCL wapo vzur kwenye bandoz hasa kma unatumia line ya chuo, sema network yao nayo ya ajabu, wingu kidogo likitanda, na mtandao unakata. 4G ya voda ipo vzur kwenye network, na bando pia nafuu, sema tatizo mnatumia wote, wew na wao uki download na wao wana download...
Back
Top Bottom