Recent content by Yasintajohn56

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Wazoefu wa safari za Nairobi

    Kuna vitu naenda kufanya binafsi. So kazi lakini
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Wazoefu wa safari za Nairobi

    Habari za Jumapili wapedwa. Napenda kuuliza Wazoefu wa safari ya Nairobi kutokea Arusha. Mimi naitaji kuelekea West Land. Lakini sifahamu chochote. Kwanzia Nauli ya kwenda na kurudi. Gharama za hoteli rahisi na sehemu Salama. Pia chakula na hela nichanci nikiwa navuka kuingia Kenya? Msaada...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa Wafanyakazi wote walioko Uarabuni

    Ubaguzi upo kila mahali Kwanzia kwenye familia Ila Mimi namshukuru MwenyeZi Mungu sijawahi baguliwa hapa Gulfi
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa Wafanyakazi wote walioko Uarabuni

    Tax drivers wa makampuni si wakazi wa hapa (Qatar) ni wa Hindi naona wa Filipino kwenye nursing na Wa Africa pia. Inategemea wewe umepata kazi au unakuja na visiting Visa then unatafuta kazi.
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa Wafanyakazi wote walioko Uarabuni

    Lazima uwe na Leseni kutoka katika nchi yako ndo itakuwa rahisi kupata license ya hapa
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa Wafanyakazi wote walioko Uarabuni

    Shukurani
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa Wafanyakazi wote walioko Uarabuni

    Inategemea na aina ya kazi I’m a lady driver. Ila nakutana na waafrica wengi kwenye Sheli za mafuta, security kwenye maofisi shule na makampuni.
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa Wafanyakazi wote walioko Uarabuni

    Kuna many Africans here lakini so wote ni Watanzania
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa Wafanyakazi wote walioko Uarabuni

    Wa ooh [emoji23][emoji23]umekariri maisha eti. Waooh
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa Wafanyakazi wote walioko Uarabuni

    Karibu
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa Wafanyakazi wote walioko Uarabuni

    Niko Qatar-Doha
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa Wafanyakazi wote walioko Uarabuni

    PM means [emoji2372]
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa Wafanyakazi wote walioko Uarabuni

    Me Mzima Pande zipi Oman, Qatar, Dubai, or Quwait.?
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa Wafanyakazi wote walioko Uarabuni

    Hi mambo
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa Wafanyakazi wote walioko Uarabuni

    Hi guys. Princess here Jamani kwa yoyote Aliyoko kikazi hapa Qatar Tujuane tafadhali. Mimi Naishi Al-Dayeen municipal. Nawakaribisha tujuane kwa changamoto na kuelimishana pia ili tuweze kufikia malengo yetu. Only in U.A .E [emoji1545]
Back
Top Bottom