Recent content by YASINI RAMADHANI ALLY

  1. Y

    KERO Kubadilishana kituo kwa mfumo ni changamoto kwa Watumishi wa Umma

    Wangefanya hata mwaka mmoja kwa wanaobadilishana
  2. Y

    Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

    Habari Viongozi TAMISEMI naomba kujua kuhusu Nafasi za Ukufunzi wa vyuo vya Kati mbona Huwa hazitangazwi ni dhahiri watumishi hustaafu katika vyuo mbalimbali nchini, je hizo Nafasi zinajazwaje? naomba ufafanuzi kidogo.
  3. Y

    Course zipi zinamfaa mtu mwenye gpa ya lower second kwa bachelor ya elimu katika sanaa, na yenye fursa kwake ?

    Vyeo vya kada ya ualimu si michezo hata mm nimefikiria kihama hii field lakini sioni njia Bora utafute Nafasi ya kuamia vyuo vya Kati kwenye ukufunzi kidogo unaweza pata ahuweni kuliko serikali za mitaa ni shida tu
  4. Y

    Hatimaye nimepata kazi kupitia JF

    Nilichojifunza hapa ni kutodharau ushauri wa watu, na kutokata tamaa hata Kama huoni matumaini!!
Back
Top Bottom