Recent content by Yarrot

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda aja na wawekezaji 40 toka Uturuki

    Unamaanisha Bashite ama sijakuelewa vizuri!
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Kuunganisha mifuko hakufuti deni la Serikali

    Mamlaka haina taarifa ya deni?!!! Serious? ama ni wanataka kutufanya sisi wajinga? Wanafanya kazi gani kama hata hawajui deni ni kiasi gani...!!
  3. Y

    JamiiForums Tanzania ATCL yarejea katika Shirikisho la Mashirika ya Ndege Duniani (IATA). Sasa kuuza tiketi dunia nzima

    Tupe link inayoonyesha ATCL imerudi.. maana kwenye website ya IATA IATA - Current Airline Members waliopo in Precision Air pekee toka Tanzania
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Mr. Senator: Tanzania nchi pekee yenye Kodi kubwa zaidi duniani inaua uchumi na kufukuza wawekezaji

    Ukimsikiliza Hussein Bashe haya anayazungumza kila siku, mlundikazo wa kodi unawakimbiza wawekezaji, production cost zinakuwa kubwa sana tunashindwa kushindana kwenye soko la dunia..
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Jiji la Arusha chini ya CHADEMA Miradi inayokaribia kutekelezwa baada ya mvua kuisha

    Asante kwa mrejesho huu, vipi kuhusu miradi ya maji? nakumbuka mkuu wa mkoa aliyetangulia nilimsikia akihojiwa na TBC kuwa jiji lilikuwa na bil 3 za miradi ya maji, ila hadi leo hii sijaona kinachoendelea...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Nilitegemea kuziona CPA ( T ) na ACCA zikitufafanulia utata wa 1.5T kabla ya Polepole kuja kuokoa Jahazi

    Kwahiyo unataka kusema CAG hizo principle za cash/acrual basis hazijui?
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Live ITV: Fahami Matsawili anazungumzia Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na Utukufu Wake!

    Mayalla hizo njaa zitakuua..
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Sam Mahela kumwambia Hashim Rungwe anaropoka, ni kumkosea adabu

    Kabisa uko sahihi, Sam ameanza kufanya kazi zake kwa kutafuta umaarufu flani kwa ili aonekane na wakubwa.. nilikuwa namkubali sana huyu bwana mdogo ila kwa sasa duuuuh amekuwa mnafiki mkubwa sana!
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa udiwani Arusha, kiashiria cha kukubalika Rais Magufuli

    Unaifahamu vizuri Arusha ama unaisikiaga tu?
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kwa utendaji huu tutakupa vipindi kama vya Nyerere

    Unataka upewe vile vyeo vya dezodezo nini maana naona unaanza kulamba miguu ya bwana mkubwa!
  11. Y

    JamiiForums Tanzania MwanaKJJ Ijumaa: Kutoka UKAWA kuelekea UKUTIUKUTI?

  12. Y

    JamiiForums Tanzania Mkapa aunguruma: Tanzania inahitaji Mijadala ya wazi tena Makini, agusia Katiba iliyokwama

    Yalipelekwa Mbowe akayakataa?! Huu upuuzi ndio anaouzungumzia Mkapa...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Marafiki wa Isaac, aliyekuhumiwa kwa kumtukana Rais, wamchangia mil 4.5 ya faini

    Hata hata wewe ukitukana tutakuchangia usiwaze..
  14. Y

    JamiiForums Tanzania UKAWA chini ya Lowassa, Sumaye, Kingunge kukwamisha Katiba ya Warioba; Mbowe&Maalim Seif Jitumbueni!

    So hapa ni kama unawalaumu UKAWA kukosekana katiba mpya?!! Ni ukilaza tu unakusumbua ama kuna kingine?!!
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Niambieni ni nchi gani duniani Bunge huonyeshwa kwa saa 8?

    So na vyombo vya habari navyo vinazuiwa kuingia na mitambo yao?! we umeishi Marekani ipi?!!
Back
Top Bottom