Recent content by yard

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole, ni lini na kwa lipi CCM imewahi kuyakumbuka maslahi na haki za akina mama hapa nchini?

    Msitetee wapuuzi waacheni mpaka wanyoke
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Madai haya ya Zitto kama ni ya kweli, basi hii ni moja ya sababu kwanini sisi ni masikini na tutaendelea kuwa hivyo

    Kaka hii nchi inawehu wengi walio jitoa fahamu kaziyao nikusifia serikali kilakitu ata kama nipabovu yaani hii nchi bila kutoka ccm hakuna kitu kipya kitatokea.
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Madai haya ya Zitto kama ni ya kweli, basi hii ni moja ya sababu kwanini sisi ni masikini na tutaendelea kuwa hivyo

    Hizi ni baazi ya Akili pumba tanzania.mtu kama wewe huwezi ata kueleweshwa niwa kuachwa kama ulivyo.
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kawe, Halima Mdee ampongeza Waziri Lukuvi kwa kumaliza mgogoro wa ardhi Boko

    Unafanana na jina lako
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Mwenendo wa wabunge wa upinzani kukubali jitihada za Serikali utalipeleka Taifa mbele tusiwabeze!

    Nimekutukana kimoyo moyo we mtumwa namkae mkijua mnachakujibu siku ya Kiama.
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Mkutano mkubwa wa injili kutokea uwanja wa CCM Kirumba Mwanza

    Asante sana mungu akutie neema.
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli usipobadilisha msimamo wako kuhusu mikopo ya wanafunzi, uchaguzi 2020 hutoboi

    La Kwanza kushindwa ccm mpaka watanzania wote muamke mkiwa mmewekewa walau ka form 4 kchwani. Pili raisi hapangiwi wala hashauliwi naukibisha kalishauli jiwe kama litakusikia. Tatu na mwisho bunge lifutwe linakula not zetu za bure.
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kusambaza dawa ya kuzuia Virusi Vya Ukimwi (HIV) aina ya Truvada

    Mona sisi wametusahau siyo fair.
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli, ziara ya Rais Magufuli mikoa ya Iringa na Morogoro ilijaa kauli za kibaguzi na utengano wa kitaifa

    acheni atukomeshe tuu maana sisi mitanzania nimi zero kabisa kabisa
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa watanzania wanaotarajia kupiga kura mwaka 2020 panapo majaliwa

    Kwa tz hii katika watu mia waelewa ni wawili tuu.
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua kuhusu hivi viwanda 3,306

    Kiwanda cha wasiyo julikana kina zimisha loho za Wasema kweli hiki ndiyo nakitambua nahapa wamefanikiwa sana serikali.
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Mambo ni moto: Hotuba ya Upinzani (Mambo ya Ndani) kusambazwa mitandaoni

    Siyo tuu kwenye mitandao hawajui kitu kabisa.
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Duuu!!! Mungu tusaidie waja wako angalia wapi tumekosea pia tupe ujasili wakusema hapana kwa pamoja. Pia tuondolee wote wanao jitia upofu ile hali wanajua kilakitu ila matumbo yao yana njaa. Kwakusema hayo machache amennn.
Back
Top Bottom