Ujumbe kwa watanzania wanaotarajia kupiga kura mwaka 2020 panapo majaliwa

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,998
144,330
Watanzania wenzangu mnaotarajia kupiga kura mwaka wa 2020, tambueni tu kuwa wakati huu ndio wakati wa kuwasoma na kuwapima wanasiasa wetu na hiki ndio kipindi muafaka cha kufanya maamuzo kuelekea 2020 na sio wakati wa kampeni.

Kipindi cha kampeni ni kipindi cha maigizo,usanii, ulaghai,unafiki na uongo kwa wanasiasa walio wengi hata kama watakuja na sera nzuri kiasi gani.

Mwanasiasa aliechagua kukaa kimya leo hii, anaeishindwa ku-sacrifice maisha yake kipindi hiki, anaepiga makofi kwa kila jambo wakati huu,aneshindwa kukutetea kipindi hiki, n.k mwanasiasa huyo 2020 muogope kama ukoma na wala usimpe kura yako maana hana uchungu na maisha yako na wala hana uzalendo kwa Taifa lako.

Binafsi leo hii ukinuliza ni mwanasiasa gani alieamua kur-risk maisha yake kwa ajili ya nchi yake nitakwambia ni Tundu Antiphas Lissu ambae hata baada ya kupigwa risasi na kuwa mahututi bado ameendeleea kusema kile anachokiamini tena bila woga.

Lissu alikuwa na kesi nyingi sana mahakamani na misukosuko mingi mingi tu lakini bado aliendelea kuwa outspoken bila kurudi nnyuma ila leo hii waheshimiwa wengine wana kesi chache tu ila tayari zimeanza kuwarudisha nyuma tofauti na Lissu.

Hata wanasiasa wa chama kile nao kwa sasa wamejaa uoga na wameamua kuwa wapiga makofi huku wengine wakichagua kukaa kimya kama hawapo.

Siwalaumu sana maana watanzania wengi tuko hivyo (huenda namimi mwenyewe ni mmoja wapo ) ila lazima niseme Lissu is exceptional tukubali tukatae.He is like Julius Malema.

Mfano Pascal tangu ahojiwe mjengoni hata humu JF kapotea kabisa ingawa sababu ya kupotea kwake haijaiweka wazi.

Zitto anapambana ila tutambue bado hajapata misukosuko kama wanayoipata viongozi wa CHADEMA hivyo bado namuweka kwenye probation ingawa kwa sasa nampa pongezi nyingi kwa jinsi anavyopambana.

Labda tujiulize na Zitto angeachagua kukaa kimya au kupunguza mashambulizi, haya ya trilioni 1.5 tungeyajua? Ya MKIRU tungeyajua? Mpaka sasa teyari Zitto kamfunga mtu spidi governor kwa haya machache tu (kaharibu) na kwa hakika kawabeba mpaka wapinzani wanzake.

Jela/Mahabusu hata mimi natambua si mahali pa kwenda ila tukikwepa tutafanikiwa? Tutatoka? Tuchague kusuka au kunyoa na hii kazi ni yetu sote na si wapinzani tu ila lazima kuwe na wa kuongoza hii crusade na wanaoongozwa nao ni lazima wawe tayari ili kuwapa moyo viongozi wa hii crusade ya kudai mabadiliko maana peke yao hawataweza..

Hivyo Lissu kwa sasa ndie mwanasiasa mpambanaji kuliko wote na huhitaji kusubiri wakati wa kampeni kufanya maamuzi kama anafaa au laa maana alikuwa tayari hata kusimama peke yake bila kujali ni wangapi wako nyuma yake.

Mtu yuko kitandani na bado anakabiliwa na kesi lukuki lakini akiweka bandiko mtandaoni, utadhani hakuna yaliyomsibu na anawapa makavu ya kutosha (wengi hatuwezi).
 
Tatizo hao jamaa hawahitaji kura!!! Bali wanamhitaji DED mkereketwa na police basi!!

Nadhani hata mkichagua, bado mtashindwa asubuhi kabla ya saa. Swali la kizushi; Hivi bado mnaamini kuwepo na upinzani 2020?? Utatoka wapi huo upinzani?? Hao mnaosema ni kuwa hawakukaa kimya kwa mapenzi yao bali wanajua wakiufungua mdomo ni kuwa wamejiondoa wenyewe kwenye ligi. Wakinyamaza, kikombe ni chao
 
Tatizo hao jamaa hawahitaji kura!!! Bali wanamhitaji DED mkereketwa na police basi!!
Tukikosa ujasiri wa kupambana na hao uliowataja basi tujue imekula kwetu.

Ni ukweli mahabusu ni kuchungu na kila mtu anajitahidi kukukwepa (including myself ) ila ukweli ndio huo lazima tuwe tayari kwenda huko vinginevyo tunakwenda ku-loose hiyo 2020.
 
  • Thanks
Reactions: Wed
Kwa mwaka 2020 uchaguzi autakuwa huru kama chaguzi ndogo zilizorudia zimeisha toa picha kuwa uchaguzi wa mwaka 2020 autakuwa wa haki
 
Watanzania wenzangu mnaotarajia kupiga kura mwaka wa 2020, tambueni tu kuwa wakati huu ndio wakati wa kuwasoma na kuwapima wanasiasa wetu na hiki ndio kipindi muafaka cha kufanya maamuzo kuelekea 2020 na sio wakati wa kampeni.

Kipindi cha kampeni ni kipindi cha maigizo,usanii, ulaghai, unafiki na uongo kwa wanasiasa walio wengi hata kama watakuja na sera nzuri kiasi gani.

Mwanasiasa aliechagua kukaa kimya leo hii, anaeishindwa ku-sacrifice maisha yake kipindi hiki, anaepiga makofi kwa kila jambo wakati huu,aneshindwa kukutetea kipindi hiki, n.k mwanasiasa huyo 2020 muogope kama ukoma na wala usimpe kura yako maana hana uchungu na maisha yako na wala hana uzalendo kwa Taifa lako.

Binafsi leo hii ukinuliza ni mwanasiasa gani alieamua kur-risk maisha yake kwa ajili ya nchi yake nitakwambia ni Tundu Antiphas Lissu ambae hata baada ya kupigwa risasi na kuwa mahututi bado ameendeleea kusema kile anachokiamini tena bila woga.

Lissu alikuwa na kesi nyingi sana mahakamani na misukosuko mingi mingi tu lakini bado aliendelea kuwa outspoken bila kurudi nnyuma ila leo hii waheshimiwa wengine wana kesi chache tu ila tayari zimeanza kuwarudisha nyuma tofauti na Lissu.

Hata wanasiasa wa chama kile nao kwa sasa wamejaa uoga na wameamua kuwa wapiga makofi huku wengine wakichagua kukaa kimya kama hawapo.

Siwalaumu sana maana watanzania wengi tuko hivyo (huenda namimi mwenyewe ni mmoja wapo ) ila lazima niseme Lissu is exceptional tukubali tukatae.He is like Julius Malema.

Mfano Pascal tangu ahojiwe mjengoni hata humu JF kapotea kabisa ingawa sababu ya kupotea kwake haijaiweka wazi.

Zitto anapambana ila tutambue bado hajapata misukosuko kama wanayoipata viongozi wa CHADEMA hivyo bado namuweka kwenye probation ingawa kwa sasa nampa pongezi nyingi kwa jinsi anavyopambana.

Labda tujiulize na Zitto angeachagua kukaa kimya au kupunguza mashambulizi, haya ya trilioni 1.5 tungeyajua? Ya MKIRU tungeyajua? Mpaka sasa teyari Zitto kamfunga mtu spidi governor kwa haya machache tu (kaharibu) na kwa hakika kawabeba mpaka wapinzani wanzake.

Jela/Mahabusu hata mimi natambua si mahali pa kwenda ila tukikwepa tutafanikiwa? Tutatoka? Tuchague kusuka au kunyoa na hii kazi ni yetu sote na si wapinzani tu ila lazima kuwe na wa kuongoza hii crusade na wanaoongozwa nao ni lazima wawe tayari ili kuwapa moyo viongozi wa hii crusade ya kudai mabadiliko maana peke yao hawataweza..

Hivyo Lissu kwa sasa ndie mwanasiasa mpambanaji kuliko wote na huhitaji kusubiri wakati wa kampeni kufanya maamuzi kama anafaa au laa.
mkuu naafikiana na wewe kabisa kabisa.

isipokuwa tusiende kwenye uchaguzi 2020 bila ya kuwa na katiba mpya (au hata walau marekebisho yatakayolenga uundwaji huru wa tume uhuru ya uchaguzi).
 
Watanzania wenzangu mnaotarajia kupiga kura mwaka wa 2020, tambueni tu kuwa wakati huu ndio wakati wa kuwasoma na kuwapima wanasiasa wetu na hiki ndio kipindi muafaka cha kufanya maamuzo kuelekea 2020 na sio wakati wa kampeni.

Kipindi cha kampeni ni kipindi cha maigizo,usanii, ulaghai, unafiki na uongo kwa wanasiasa walio wengi hata kama watakuja na sera nzuri kiasi gani.

Mwanasiasa aliechagua kukaa kimya leo hii, anaeishindwa ku-sacrifice maisha yake kipindi hiki, anaepiga makofi kwa kila jambo wakati huu,aneshindwa kukutetea kipindi hiki, n.k mwanasiasa huyo 2020 muogope kama ukoma na wala usimpe kura yako maana hana uchungu na maisha yako na wala hana uzalendo kwa Taifa lako.

Binafsi leo hii ukinuliza ni mwanasiasa gani alieamua kur-risk maisha yake kwa ajili ya nchi yake nitakwambia ni Tundu Antiphas Lissu ambae hata baada ya kupigwa risasi na kuwa mahututi bado ameendeleea kusema kile anachokiamini tena bila woga.

Lissu alikuwa na kesi nyingi sana mahakamani na misukosuko mingi mingi tu lakini bado aliendelea kuwa outspoken bila kurudi nnyuma ila leo hii waheshimiwa wengine wana kesi chache tu ila tayari zimeanza kuwarudisha nyuma tofauti na Lissu.

Hata wanasiasa wa chama kile nao kwa sasa wamejaa uoga na wameamua kuwa wapiga makofi huku wengine wakichagua kukaa kimya kama hawapo.

Siwalaumu sana maana watanzania wengi tuko hivyo (huenda namimi mwenyewe ni mmoja wapo ) ila lazima niseme Lissu is exceptional tukubali tukatae.He is like Julius Malema.

Mfano Pascal tangu ahojiwe mjengoni hata humu JF kapotea kabisa ingawa sababu ya kupotea kwake haijaiweka wazi.

Zitto anapambana ila tutambue bado hajapata misukosuko kama wanayoipata viongozi wa CHADEMA hivyo bado namuweka kwenye probation ingawa kwa sasa nampa pongezi nyingi kwa jinsi anavyopambana.

Labda tujiulize na Zitto angeachagua kukaa kimya au kupunguza mashambulizi, haya ya trilioni 1.5 tungeyajua? Ya MKIRU tungeyajua? Mpaka sasa teyari Zitto kamfunga mtu spidi governor kwa haya machache tu (kaharibu) na kwa hakika kawabeba mpaka wapinzani wanzake.

Jela/Mahabusu hata mimi natambua si mahali pa kwenda ila tukikwepa tutafanikiwa? Tutatoka? Tuchague kusuka au kunyoa na hii kazi ni yetu sote na si wapinzani tu ila lazima kuwe na wa kuongoza hii crusade na wanaoongozwa nao ni lazima wawe tayari ili kuwapa moyo viongozi wa hii crusade ya kudai mabadiliko maana peke yao hawataweza..

Hivyo Lissu kwa sasa ndie mwanasiasa mpambanaji kuliko wote na huhitaji kusubiri wakati wa kampeni kufanya maamuzi kama anafaa au laa maana alikuwa tayari hata kusimama peke yake bila kujali ni wangapi wako nyuma yake.
Broo unatoka kaskazini ndio mqqna unaongea ivyo
 
Nakuambia kamwe hatuwezi kuongozwa na kaskazini tena.mnadharau sana makabila hadi mnawaita Kiasaka
Usijichoshe tushakusoma Lema, Mushi, kitomari, Tilya, Munuo, kileo, Mnja, masawe, Ulomi, msak, Tesha munuo n.k
 
Mkuu tatizo tz hakuna Democratic election upinzani hata washinde hakuna mabadiliko Ila watala ndo wenaomili kila kitu hata hiyo time ya uchaguzi ni Mali ya fisiem
 
Naam Mkuu MAZWAZWA wa nchi hii ni wengi mnoo! Na ni mtaji mkubwa wa hili genge la wahuni na ndiyo sababu wanafanya juu chini kushusha kiwango cha elimu nchini na kuweka vikwazo chungu nzima vya kipuuzi ili Watanzania walio wengi wasielimike.

Kwa tz hii katika watu mia waelewa ni wawili tuu.
 
Back
Top Bottom