Recent content by yapondachela

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Vigezo vitumiwavo katika kubadilisha thamani ya fedha kati na nchi moja na nyiingine

    maana fupi ya $ 1 =tsh 2000 ni kwamba kitu kinachonunuliwa kwa dola moja kwenye soko la dunia kikiwa tz kitanunuliwa kwa sh. 2000
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lako mdahalo wa wagombea Urais utakaofanyika Oktoba 18, 2015

    Swali kwa lowasa: Utabadili vipi temba za wagogo kuwa nyumba nzuri za bati kwa muda wa siku 100? Kama alivyoahidi na kwa uchumi upi?
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lako mdahalo wa wagombea Urais utakaofanyika Oktoba 18, 2015

    Mdahalo ni muhimu ili kupima uwezo binafsi wa wagombea wa kugikiri na kujibu maswali watakayoulizwa
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa, unyumba sipati kwa mke wangu

    kama mmecheki na kukutwa na UTI maana yake wote mnaumwa katibiweni inawezekana hilo ndo tatizo linalomfanya akose hamu ya tendo la ndoa
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimemtelekeza Supermarket na bili ya laki nne

    kijana naona huyo mwanamke hakupendi kwaninni unamng'ang'ania? na bado huwezi gharama zake. umeshaambiwa yeye ni pumziko la mabosi achana naye mwisho ytakuja juta!
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Mapenzi: Kuna wanaume wanaopendwa na kukataa

    siyo wanaume wote hupenda kila mwanamke
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kapata bwana Instagram

    umemuomba ndoa kakataa? jaribu kumkaribia na kumwonyesha unataka kufanya naye tendo la ndoa umsikie anasemaje
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mumewe ana maumbile makubwa, mkewe anaumia wakati wa tendo la ndoa

    atafute ushauri zaidi kwa watalamu wa male sex organs nadhani kuna flexible rings zinazosaidia ku resize penis length ili mke wake asiumie
Back
Top Bottom