Recent content by yap2p

  1. Y

    Thinking about new carrier

    Got u mentor..
  2. Y

    Thinking about new carrier

    Sina furaha na kazi hii yaan najikuta kuichoka na kila muda naifikiria medical lab
  3. Y

    Thinking about new carrier

    Jaman ilikua typing error siunajua hizi smartphone tena
  4. Y

    Thinking about new carrier

    Mimi ni kijana mwenye miaka 24 na namshukuru Mungu katika umri huu tayari am a degree holder nikibobea kwenye maswala ya kilimo hasa upande wa udongo na mazao (agronomy) fani niliosomea pale SUA baada ya kumaliza mchepuo wa PCB A level lakini ninawish kusoma kitu kingine ambacho nafikiri...
  5. Y

    Thinking about new carrier

    Mimi ni kijana mwenye miaka 24,na namshukuru Mungu katika umri huu tayari am a degree holder nikibobea kwenye maswala ya kilimo hasa upande wa udongo na mazao (agronomy) fani niliosomea pale SUA baada ya kumaliza mchepuo wa PCB A level... lkn ninawish kusoma kitu kingine ambacho nafikiri...
  6. Y

    Deal ya Ali Kiba na Sony: Makosa yanayojirudia..

    No body knows.[emoji301]
  7. Y

    Deal ya Ali Kiba na Sony: Makosa yanayojirudia..

    Diva Beyonce wengine hatuna team ila tunapenda mziki na mafanikio ya mwanamziki.. so hatumuonei wivu kiba ila tunajaribu kutahadharisha tu na kueleza uhalisia wa maisha ya msanii chin ya label hii #sony with reference ya wasanii walio wahi kua chini ya sony.... One time hadi Wako Jacko aliwahi...
  8. Y

    Deal ya Ali Kiba na Sony: Makosa yanayojirudia..

    Historically sony haijawahi wapa mafanikio makubwa wasan wa kiafrica zaid ya kuwarudisha nyuma kimuzik mfano akina rose mhando... lkn pia kudunia sony imelalamikiwa sana kwa kuharibu person focus na life style za wasani wanaokua chin ya lebo yao... so daa kiba na management yake wawe makin sana
Back
Top Bottom