Recent content by yantuzu

  1. yantuzu

    JamiiForums Tanzania Hii ndio smartphone ambayo inaongoza kwa kukaa na chaji duniani

    Samsung s7 edge inanipa raha sana hadi nasahau kama ni smartphone maana nikitoka home asubuhi, naiweka kwenye chaja the next morning mida ya saa kumi na moja asubuhi, halafu ni fast chaja so saa moja naikamata naingia kwenye shughuli hadi kesho yake tena. Ingawa siku nikiikamata full time ndio...
  2. yantuzu

    JamiiForums Tanzania Nime poteza iphone

    Pole sana mkuu, Nakushauri nenda karipoti polisi kama una IMEI number ya hiyo simu, siku hizi wanafanya kazi nzuri sana ya kutafuta simu zilizoibiwa wakishirikiana na TCRA. Mi nilishawahi kupoteza simu niliipata bila shida yeyote na kama ni mwizi unakamata akiwa hajui kama anakamatwa.
  3. yantuzu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku certify simu zitakazofungiwa kutumia service za google (playstore)

    Nimeclear ila ngoma bado iko vile vile, restarded the phone bado vilevile.
  4. yantuzu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku certify simu zitakazofungiwa kutumia service za google (playstore)

    Nafanyeje ku clear hiyo cache?
  5. yantuzu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku certify simu zitakazofungiwa kutumia service za google (playstore)

    Kwangu pia IMEI imekubali ingawa kwenye playstore bado imeandika "uncertified"
  6. yantuzu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku certify simu zitakazofungiwa kutumia service za google (playstore)

    Custom rom ndio ile ambayo haijawa rooted? Kama ndiyo basi ya kwangu ni custom rom na imegoma
  7. yantuzu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku certify simu zitakazofungiwa kutumia service za google (playstore)

    Nimeshacheki iko vilevile "uncertified?
  8. yantuzu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku certify simu zitakazofungiwa kutumia service za google (playstore)

    Natumia Samsung s7 edge lakini haiko certified
  9. yantuzu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku certify simu zitakazofungiwa kutumia service za google (playstore)

    Hapana mkuu Maana nikiweka then nabonyeza "register" inabaki dormant tu, nimeiacha hivyo kwa muda then nimejaribu hamna kitu, nikazima simu na kuwasha lakini holla
  10. yantuzu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku certify simu zitakazofungiwa kutumia service za google (playstore)

    Nimefuata procedures kama ulivyoandika na Android Id nimeipata ila nikiiweka pale sehemu ya kuregister then nabonyeza "register" hairespond, shida ni nini hapo mkuu?
  11. yantuzu

    JamiiForums Tanzania NAOMBA MSAADA WADAU

    Asante sana mkuu, niilipata movie kupitia link uliniwekea hapo
  12. yantuzu

    JamiiForums Tanzania NAOMBA MSAADA WADAU

    So unanishauri niachane na hiyo movie?
  13. yantuzu

    JamiiForums Tanzania NAOMBA MSAADA WADAU

    Poleni na majukumu ya weekend wadau wa jukwaa hili muhimu. Kuna movie nimedownload kutoka "Piratetorrent.net" inaitwa "13 hours The secret Soldiers of Benghazi", shida ni kwamba iko cmpresed kwa winrar na iko na password, Kuna link jamaa wameweka ili kupata password Lakin nikiingia kwenye hiyo...
  14. yantuzu

    JamiiForums Tanzania Windows 10 overtakes XP and 8.1, still lags behind 7

    Mie sio mtaalamu sana wa hizi computa ila nimekuwa mtumiaji sana wa computa kwa muda mrefu na nimetumia window nyingi xp, 7, 8 na sasa niliupdate to 10. Naona window 10 iko powq sana, naipenda maana imeongeza speed ya pc yangu, ishu ya virus imepungua, then naipenda internet explorer iko very...
  15. yantuzu

    JamiiForums Tanzania VIDEO:Mpangilio wa malazi kwa kutumia kontena

    Joto vipi?
Back
Top Bottom