Recent content by yanga bwana

  1. yanga bwana

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole avamiwa na majambazi

    Polisi walikimbilia nini? Au kwa kuwa ni kanda Wa ccm
  2. yanga bwana

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

    Mkapa amesema vijana wrote malofa ndio maana hawana hata ajira
  3. yanga bwana

    JamiiForums Tanzania Mkapa na makongoro nyerere acheni siasa za kupandikiza chuki

    Sumiyu mjinga sana wewe
  4. yanga bwana

    JamiiForums Tanzania Kizazaa cha fedha za Kampeni Lowassa, CHADEMA na UKAWA

    Dubby hats umekuwa mwongo kiasi hicho?
  5. yanga bwana

    JamiiForums Tanzania Kizazaa cha fedha za Kampeni Lowassa, CHADEMA na UKAWA

    Umesema kweli kampeni za ccm in kodi zetu
  6. yanga bwana

    JamiiForums Tanzania Kizazaa cha fedha za Kampeni Lowassa, CHADEMA na UKAWA

    Jamani mbona mnateseka sana hamna Kazi za kufanya?
  7. yanga bwana

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Kikwete bado Yuki madarakani aagizwe Waziri Wa sheria aandaa muswada haraka sana Na mafisadi Wa kwanza in Wa escrow
  8. yanga bwana

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha akamatwa na Polisi

    Ccm punguzeni hasira mnazidi kuwachukiza wapiga kura wenu kwa uonevu mnaoufanya mnatumia vyombo vya dola kutesa wananchi haya bwana
  9. yanga bwana

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Jamani Lowassa anawauma sana ?
  10. yanga bwana

    JamiiForums Tanzania Kizazaa cha fedha za Kampeni Lowassa, CHADEMA na UKAWA

    Faizal hata wewe? Jamani kwanini mnakuwa waongo? Umelipwa sh ngapi kuandika uwongo huu?
  11. yanga bwana

    JamiiForums Tanzania Hivi mpaka sasa kuna mtu mwenye akili anaamini kuwa Lowassa atakuwa Rais?

    Ccm Wa Sera gani mkuu au in zile zile za miaka 54? Kama in hizo tumechoka
  12. yanga bwana

    JamiiForums Tanzania Mkapa na makongoro nyerere acheni siasa za kupandikiza chuki

    Hakika nimeshtusa sana Na kauli zilizotolewa Na Rais mstaafu Mkapa za kuwatukana watanzania kuwa ni Wapumbavu Na Malofa.Ukweli Mzee Mkapa kama kiongozi Wa taifa hili hakustahili kuonyesha chuki binafsi kwa watanzania. Kila mtanzania ana haki ya kuamini kuabudu chama atakacho Na pia kujiunga au...
  13. yanga bwana

    JamiiForums Tanzania ONYO: Makongoro Nyerere kabla hujafa hujaumbika

    Umesema kweli 1800 Makongoro hana akili kabisa
  14. yanga bwana

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Jamani jamani mbona wagonjwa in wengi? Magufuri kwa babu Wa kikombe alienda kujenga Barabara?
  15. yanga bwana

    JamiiForums Tanzania Ilani ya ccm 2015 ni pamoja na kuwatukana wapiga kura

    Hata wewe tang' ana ? Kuna jamaa yako alinielezea habari yako nikambishia sana lakini sasa nimeamini pole sana mkuu
Back
Top Bottom