Recent content by yang jidon

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nazi Tanga - Zanzibar

    bei km za dar sema uhitaji ni mkubwa
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Ni biashara ipi ndogo sana uliifanya ikakufikisha kwenye mafanikio makubwa?

    Ni biashara gan hiyo mkuu tushirikishe
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nazi Tanga - Zanzibar

    Ndio japo zipo ila hazikidhi mahitaji ya watu wa Zanzibar
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nazi Tanga - Zanzibar

    asante mkuu
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nazi Tanga - Zanzibar

    Nipo Dar mkuu
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Mkuu kwahiyo kwa mtu akiwa anataka kuanza na ps4 na tv Moja ni mtaji wa shingap?
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nazi Tanga - Zanzibar

    Habari za mchana wakuu, naomba kujua kwa wazoefu au wenye ujuzi mashamba ya nazi Tanga ni wapi na bei huwa zinachezea ngapi pia changamoto ya biashara hii ikibidi njia za kuepuka gharama zisizo za lazima. Mimi nataka kuanza hii biashara na mtaji wa laki 3 tu. Changia chochote ulichonacho ikiwa...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    uko mkoa gan mkuu mimi nauza mbao
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Chimbo zuri la Vifaa vya Electronics Zanzibar

    shukran
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Ambaye ana uzoefu na biashara za Dar-Zanzibar

    aha hizo laptop na blenda ni imara au
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Chimbo zuri la Vifaa vya Electronics Zanzibar

    Naomba kujua chimbo zuri la Simu, Laptop na TV za bei za kupoint na imara huku Zanzibar. Naomba ushirikiano wenu wana JF.
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Ambaye ana uzoefu na biashara za Dar-Zanzibar

    Yupo maeneo gan ? TV zake ni imara na inaweza lipa ukienda kuuza dar?
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Ambaye ana uzoefu na biashara za Dar-Zanzibar

    tupe fursa Ambazo unaweza nunua bidhaa gan kutoka zenji kuja kuuza dar au kutoa dar kuleta zenji Karibuni wana jukwaa
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Ambaye ana uzoefu na biashara za Dar-Zanzibar

    mkuu naomba niweke sawa kidogo vibali gan hivyo vinavyohitajika?
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Ambaye ana uzoefu na biashara za Dar-Zanzibar

    vipi kuhusu usafirishaji
Back
Top Bottom