Recent content by yakub yusuf

  1. yakub yusuf

    Serikali: Kampeni ya kupambana na Ushoga ya RC Makonda sio msimamo wa nchi

    Tunajinasibu serikali inapesa na hatubabaiki na mikopo ya wahisan kama tunaweza kuendesha miradi mikubwa kwapesa zetu kwann tunawaogopa hawa watu au viongoz mnatupiga changa lamacho mchana mnatuambia tunapesa zakutosha ucku mnasain mikopo kmya kmya.
  2. yakub yusuf

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    PSG kaharibu shuhul dk90 dahh ila co mbaya leo nayo siku
  3. yakub yusuf

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Natoka kwa njia hii Leo ,Nmuda sana cjafanya biasha hii Leo nataka nijarbu hii
  4. yakub yusuf

    Natafuta kiwanja

    Mhh mbona mwanzo m5 mara imefika tena m6 ghafra hvyo
  5. yakub yusuf

    Natafuta kiwanja

    Namba tafazar
  6. yakub yusuf

    Natafuta kazi ya udereva magari makubwa

    Asnt mkuu kwa ushaul wako mungu atasaidia labda rizk bado haijafka tu
  7. yakub yusuf

    Natafuta kazi ya udereva magari makubwa

    Labda nkupe mfano mmoja hlf utaniambia hapo uzoefu na shule kp knachukua nafac yake.Kunamcmu mbuga huwa inachomwa moto kwaajl ya kuruhusu majna kuota vzr n km tunavyo jua mbuga ya mikumi brbr hukatza kat mcmu wa kuchoma unapofka wanachoma mpk majan ya pemben kbs ya brbr ss kwa sheria ya shule km...
  8. yakub yusuf

    Natafuta kazi ya udereva magari makubwa

    Ila pia mkuu kunaktu knaitwa uzoefu unaweza kuwa na vyet vyako hata FUSO zma lkn km huna uzoefu ukashndwa kupata kaz mbele ya mtu ambae Hana chet lkn ana uzoefu mana uzoefu wakat mwengne unazdi hata mafunzo ya shule co kla swala lnalo tokea brbrn bac shule mnafundshwa mengne hakuna shule lkn...
  9. yakub yusuf

    Natafuta kazi ya udereva magari makubwa

    Mkuu ni sheria gan labda unayo ihitaj niwenayo?labda ulza tu chcht unachohc knaweza kuwa ndio usalama wa mzgo nami ntakujbu kadri nnavyo faham hlf ndio utaona km jbu nmekosea bac ntakuwa kwel cjui ila co kuish kwa zana hyo.Lkn pia mkuu labda hujafaham utaratibu uliopo pale NIT n kwamba wanaosoma...
  10. yakub yusuf

    Natafuta kazi ya udereva magari makubwa

    Me nmesoma NIT intek ya 226 mwaka 2013 tulipo kuwa hapo chuo hlo swala la umr llzungumzwa na majbu tulio pewa yalkuwa km nlvyo eleza hapo mkuu
  11. yakub yusuf

    Natafuta kazi ya udereva magari makubwa

    Bahat nzur nmeweka na pcha ya Chet changu hapo juu mkuu
  12. yakub yusuf

    Natafuta kazi ya udereva magari makubwa

    Lesen class C1 C2 na C3 n miaka 21 unaruhucwa kupata na C kavu n kuanzia Miaka 24 kaka
Back
Top Bottom