Natafuta kazi ya udereva magari makubwa

yakub yusuf

JF-Expert Member
Oct 12, 2013
319
86
Habar wanajamvi?Natafuta kaz ya udereva magar makubwa nina uzoefu wa miaka3 kuendesha magar ya mizgo kwenda nchi mbalmbal Africa masharik Zambia,Congo na Malawi mwenye taarifa mahala popote kwenye kaz msaada wake kunijuza
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1467041608.101293.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1467041608.101293.jpg
    41.9 KB · Views: 957
Leseni sio kazi sana kupata.
Maswali yangu.
1. Ulishawahi kuwa tingo wa semi au pulling ?
2. Udereva wako uliendesha malori yapi? Mchina?scania?au zipi?
3.Ulikuwa unadrive tankers au kichanja au box body?
4. Gari ulizobobea ni zipi?
5. Nchi au border zipi ulikuwa unapita na ulifika wapi?
6. Ni mizigo ya kampuni au parcel ?
 
Yakub jarib kutafta mchongo nchi jiran hapo zambia ukaendeshe basi wabongo wako wengi kule tafuta connection kwa siku unapata dola 100
 
Leseni sio kazi sana kupata.
Maswali yangu.
1. Ulishawahi kuwa tingo wa semi au pulling ?
2. Udereva wako uliendesha malori yapi? Mchina?scania?au zipi?
3.Ulikuwa unadrive tankers au kichanja au box body?
4. Gari ulizobobea ni zipi?
5. Nchi au border zipi ulikuwa unapita na ulifika wapi?
6. Ni mizigo ya kampuni au parcel ?

Majbu 1) ndio nlsha kuwa tingo wa semi kwa mwaka na nusu
2)Nmeendesha mchina (HOWO) na scania(113)
3)Nmeendesha kichanja(gar ya kubeba kontena tank cjawah
4)Gar nlzo zoea n mchina na scania
5)Nchi nlzo wah kwenda NI Kenya kuptia horohoro nkaishia Mombasa Burundi kupitia kabanga nkaenda mpk Bujumbura Rwanda kuptia lusumo nmeenda mpk kigal,Congo kupitia lusumo kigal goma Zambia kuptia Tunduma nmeenda Lusaka,Ndola,Kitwe,Chambish,Solwez,Lumwana,Mwinilunga,Mufumbwe,Kapompo mpk Zambezi na Chavuma mpakan mwa Zambia na Angola,lkn pia nmeenda Malawi kuptia kasumulu nkaenda mpk mzuzu Lilongwe nkafka mpk boda ya Malawi na Zambia mchinji nkavuka mpk Chipata nkatokea Lusaka
6)Mizgo n ya kampuni.
Nazan hapo mkuu kidogo utakuwa umepata mwanga
 
Lesen class C1 C2 na C3 n miaka 21 unaruhucwa kupata na C kavu n kuanzia Miaka 24 kaka
Sio kweli ndugu, huo utaratibu ulifutwa toka 2009, kupata C kavu ikawekwa sheria kuanzia mtu mwenye miaka 30, imeanza kufanya kazi rasmi 2011 miezi ya mwishoni mwa mwaka ww umesoma lini? Na chuo gani
 
Sio kweli ndugu, huo utaratibu ulifutwa toka 2009, kupata C kavu ikawekwa sheria kuanzia mtu mwenye miaka 30, imeanza kufanya kazi rasmi 2011 miezi ya mwishoni mwa mwaka ww umesoma lini? Na chuo gani

Bahat nzur nmeweka na pcha ya Chet changu hapo juu mkuu
 
Me nmesoma NIT intek ya 226 mwaka 2013 tulipo kuwa hapo chuo hlo swala la umr llzungumzwa na majbu tulio pewa yalkuwa km nlvyo eleza hapo mkuu
 
Bahat nzur nmeweka na pcha ya Chet changu hapo juu mkuu
Ilo sio tatizo ila tatizo ww ulipata leseni bila ya kufuata taratibu zilizowekwa kisheria, isitoshe wewe unataka kuendesha maroli tuwekee cheti cha udereva mahili wa lori (HGV) hicho ulichokiweka ww ujawa mahili hadi kuajiliwa kama dereva wa lori.
Nakushauri unataka kuwa dereva wa lori nenda kasome tafadhali
Vigezo vya kuwa dereva mahili wa lori huna na kuwa dereva wa bus kiharali ni ngumu sababu ya umri
Asante,
 
HIVI UNA MIAKA MINGAPI?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom