Recent content by Yakini

  1. Yakini

    JamiiForums Tanzania Nakujibu mwanasheria Halima Mdee kama nilivyomjibu David Kafulila

    Rubbish, hakuna ulichojibu zaidi ya kuharibu zaidi.
  2. Yakini

    JamiiForums Tanzania Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

    Ndugu hiyo mijadara ya maendeleo jadili mwenyewe sisi tunataka haki itendeke, kuna watu wanazaidi ya miaka 20 kazini wamefukuzwa kwa tuhuma za vyeti. It is simple athibitishe elimu yake tu.
  3. Yakini

    JamiiForums Tanzania Kuna la kujifunza toka CCM

    Kuna la kujifunza kutoka CCM: Kwanza niseme tu kuwa mimi naunga mkono upinzani, lakini nimeona kuandika uzi huu baada ya kuona kuna kitu ambacho sisi wapinzani tunachakujifunza toka kwa CCM. Pamoja na mapungufu mengi ya chama tawala lakini bado angalau wana mifumo ya kidemocrasia hata kama...
  4. Yakini

    JamiiForums Tanzania Hii jeuri Lowassa anaitoa wapi?

    Waulize CCM kwa nini jana Abeid A. Karume hakuvaa kijani
  5. Yakini

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Jamani wekeni picha mtujuze hivyo
  6. Yakini

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya kikao cha suluhu kati ya Dk. Slaa na Mbowe

    Weweee go to the point hatuna muda wa kusoma hadithi ndefu hivyo
  7. Yakini

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Kila mtu anahaki ya kusimamia yale anayoyaamini yeye mwenyewe. Japokuwa Pro. Lipumba nae ana haki hiyo naomba wanajukwaa tulimulike swala hili kwa jicho la ndani na mbali. Pro. Ni mwenyekiti wa chama (High profile leader in CUF), angeweza kutumia vikao halali vya vyama kutoa mwelekeo kwa chama...
  8. Yakini

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo ukweli kuhusu Dr. Slaa

    Mbona mnakuja na majibu yenu tu TUNAOMBA MTULETEE DR MWENYEWE NDO AKANUSHE
  9. Yakini

    JamiiForums Tanzania Kinachojili usiku huu katika mkutano wa CCM kutoka ukumbi wa CCM Convention Center

    Mnahangaika bure tu, niwashauri mlale tu maana hakuna kikao chochote kinachoendelea wala kilichofanyika jana na leo.... FACT
  10. Yakini

    JamiiForums Tanzania CCM yaitisha Kamati Kuu kwa dharura

    Kizazi kilichopotoka, si haba wewe ni kipofu wa mawazo na dira
  11. Yakini

    JamiiForums Tanzania Lowassa azomewa mkoa wa Katavi katika udhamini

    Burton86jm Acha uongo mbona tunasikia sauti yako tu.......
  12. Yakini

    JamiiForums Tanzania Rais mwenye kutoa maamuzi magumu ni dikteta!

    Mkuu hawa jamaa wanahangaika sana
  13. Yakini

    JamiiForums Tanzania Lowassa mizunguko ya kutafuta wadhani, Kampeni amewekeza na Afya yake

    Kwani Nyerere ni Mungu? Ameshamaliza safari yake, kwanza unamsingizia
  14. Yakini

    JamiiForums Tanzania Lowassa kutumia zaidi ya shilingi Bilioni 1.5 kutangaza nia Arusha

    chakii Tulieni MNYOLEWE
  15. Yakini

    JamiiForums Tanzania Kundi la maseneta 35 maalumu Tanzania linaendelea na kikao cha kumpata rais

    Mkuu nilikuwa naamini sana habari zako lakini miezi ya hivi karibuni umepoteza dira... Rudi kwenye habari zako za tija za zamani
Back
Top Bottom