Hii machine mbona Kama imechakaa ghafla baada ya kukata hicho Chuma au ilifungwa hapo kwanza kisha kikahamishiwa katika machine nyingine! Tazama kwa umakini hizo picha.
Heshima kwenu wanaJF
Kwanza naomba nisiwe msemaji wa Kampuni kwani wenye Mamlaka hiyo wapo, mie ni mwanahabari wa kawaida kama walivyo wengine.
Ufafanuzi naoutoa hapa ni binafsi kama mwanaforum wala sio tamko la Kampuni: Gazeti la Mwananchi kutosomwa katika TV Leo ni kutokana na utaratibu wa...
Nikiendelea kunukuu Ufafanuzi wa Mungi katika Kipindi hicho Mkuu, Channel za Free to air kitaifa ni tano ni sheria kwa multiplex operators wote kuwa nazo katika package yao kwa hiyo hata kama mtumiaji hana uwezo wa kulipia premium services ataendelea kuziona regardless ashanunua king'amuzi.
Kwa...
Ufafanuzi kutoka TCRA: ni kwamba channel zenye leseni ya Kitaifa ni tano na hizo ndio zitapatikana katika vingamuzi bure na zile zenye leseni ya kimkoa au kutoa huduma katika miji fulani zitaonekana katika eneo hilo tu kwa utaratibu ambao utawezeshwa na Multiplex operators
Ufafanuzi kutoka kwa Innocent Mungi ni kuwa wana uwezo wa kusihinikiza DSTV kwa mikataba ya kimataifa kuwa na TV ya Taifa katika package yao bure, lakini channel zingine ni makubaliano kati ya msambaza huduma na kituo husika.
Tatizo jingine la msingi katika mchakato huu ni urari wa kibiashara kati ya soko la Ndani na mikataba ya wawekezaji wa kimataifa, Na hapa ndio utamkuta DSTV sasa hayo mengine kwa wachangiaji waliotangulia hapo juu kuhusu DSTV sina nayo hakika sana kama yana uhusiano na nachelea kutouliza mambo...
Salaam wakuu,
Kesho Ijumaa januari 11, 2013 Mjadala Mkuu katika kipindi cha Tuongee Asubuhi utaangazia mabadiliko ya mfumo wa Digitali na changamoto zake kwa watumiaji, Mamlaka ya Mawasiliano Nchini TCRA na Watoa Huduma (Kampuni zenye leseni ya kusambaza vingamuzi CONTINENTAL, BTL, TING, ZOUK...
Kama navyokwambia kuteleza ni maumbile na hapa najizungumzia mie binafsi maana nakumbuka hata nilipokuwa na Ndugu yangu Baruani Muhuza pamoja na kujitahidi sana kuwa Objective lakini bado watu walimnanga hapa JF kuwa anajipendekeza akitaka ukuu wa wilaya ishakuwa slogan hasa baada ya Mh. Rais...
Tulipokamua kushirikiana na wanaforum ni kwa lengo la kupata postive critism rejea thread yangu ya kwanza kabisa hapa JF. Dosari mnazozibaini tunazifanyia kazi.
Kuna kuteleza nasi si wakamilifu wala Malaika na hatufanyi kazi kwa masilahi ya yoyote zaidi ya misingi ya Taaluma.
Tunapojikwaa ni...
Ulikuwa ni mjadala wa Viongozi wa rank moja (Manaibu Katibu Wakuu), Viongozi wengine pia mtawaona kwa kadiri siku zinavyozidi kusonga. Lengo ni kuwakutanisha Viongozi wenu nanyi katika mijadala ya TV
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.