MKUTANO UNAHUSU MASUALA YA ULINZI NA USALAMA, HUSSEIN MWINYI ANA UZOEFU NA MASUALA HAYO KWANI AMEKUWA WAZIRI WA ULINZI KWA MUDA MREFU.HIVYO ATAKUWA NA MTAZAMO MPANA WA MASUALA YATAKAYOJADILIWA HUKO.
Wakuu kumekuwa na ile kanuni au sheria ya kutompatia wakala wa chama nakala ya matokeo ya kura ikiwa hakutakuwa na nakala za kutosha za matokeo hayo.
Nahisi Tume imeliweka jina la CHADEMA mwisho kwenye karatasi hiyo ili kila wakigawa nakala za fomu za matokeo zisimfikie wakala wa CHADEMA kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.