Kwenu wana habari wa Tanzania,
Hii sasa ni vita serious dhidi yenu, nadhani mmemsikia mkulu alichowaambia leo pale mjengoni.
Nawaomba msimame imara, ikibidi chukueni mbinu kutoka TLS ambao walishinda vita dhidi ya hawa mabwana. Chonde chonde simameni imara, mkiwa wamoja hawa watu ni wepesi kama unyoya.
Wakuelewa na aelewe.
Halafu Mods mkiunganisha huu uzi nazaa na nyinyi, Tusipangiane.
ASANTENI