Recent content by Yaga

  1. Y

    Kwa hili tukio la leo, ITV wasiachwe hivi hivi, wachukuliwe hatua za kisheria

    hacha umalaya wako wewe, siku kikwete akimkabidhi mikoba na kuapishwa ndo anakuwa raisi wa Tanzania, sasa rais bado ni kikwete mpaka magufuri atakapo apishwa. sasa bado ni raisi wa chama chake. pumbavu
  2. Y

    CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    mkuu, samahani naomba kuhuliza, hivi ICC inaweza kutengua raisi ambaye tayari katangazwa na huku kwetu sheria hairuhusu kuhoji kama raisi katangazwa? kama kuna mwanasheria atusaidie apa
  3. Y

    Natafuta shamba la kununua maeneo ya Kibaha

    kuna ndugu yangu analo, liko kalibu na chanzo maji baridi yasiyo kauka (mto), utaweza kufuga hiyo mifugo, unaweza kufuga na hata samaki aina ya sato, na pia unaweza kulima hata mazao ya miezi miwili kama matikiti maji n.k. Liko wilaya ya kibaha vijijini. ziko heka 15. Mpigie kwa namba hii kama...
  4. Y

    Msaada: Mtoto wangu uume wake umevimba

    ndio ndo wa kwanza kutwambia mtoto akavimba asubuh mida ya saa nne. ila kaamka vizuri
  5. Y

    Msaada: Mtoto wangu uume wake umevimba

    Wanajanvi, kwa wale madaktari na wazazi naomba mnisaidie mtoto wangu anaumwa kama ifuatavyo:- Mtoto ana miaka mitano, alitahiliwa akiwa na miezi sita, leo asubuhi nimestukia sehemu aliko tahiliwa, kadudu kake kame vimba sana, hachangamki sana, ila anakojoa vizuri. Ile sehemu ambako walikata...
  6. Y

    Natafuta gari ya milioni nne wasiliana nami 0658578715

    Mimi ninayo Toyota Camry, ina AC kama huko tayari nipigie 0674 878987
  7. Y

    Naomba kujuzwa kuhusu fursa zilizopo kisiwa cha Mafia na Songasi

    Wakuu, Naomba kwa wale walio kwisha kutembelea katika visiwa hivi Mafia na Songasi, wanisaidie kujua yafuatayo:- Ni biashara gani naweza kutoa uko kuleta apa Dar au ni biashara gani naweza kutoa Dar kupeleka uko.Najipanga kwenda kutembelea kwanza ila nimeona niulize nipate mwanga kabla...
  8. Y

    Speakers 2 kwa ajili ya matumizi ya studio zinauzwa, bei 160,000/= TZS

    kwa wale wenye studio kwa ajili ya kuredi music -audio au video, nauza used monitor speaker mbili aina ya Digital Karaoke. kwa bei ya shs 160,000/= mawasiliano 0756 5047 01
  9. Y

    Shamba linauzwa heka 15, million 12.liko mkoa wa pwan -kibaha vijijini

    Ndugu asante kwa kutaka kujua, ila nimeshindwa ku-apload hizo picha naona divice yangu inakataa na kuchukua muda mrefu!, Umbali kutoka kwenye mita ni sawa na 0, Kwa sababu sehemu ya mipaka ya shamba ni mto wenyewe ila kuna umbali mdogo wa kuacha kwa ajili ya ifadhi ya mtu. kuhusu matenk n.k...
  10. Y

    Shamba linauzwa heka 15, million 12.liko mkoa wa pwan -kibaha vijijini

    1.Shamba liko kijiji cha madege wilaya kibaha vijijini -mkoa wa pwani. km 30 kutoka minzani vigwaza (morogoro road). 2.Liko karibu na mto ruvu.maji hayakauki 3.Linafaa kwa kufuga mifugo mbali mbali, haswa ufugaji wa samaki. 4 Lina bwawa la kufugia samaki ambalo halijamaliziwa kuchimbwa...
  11. Y

    Kwa wana ndoa ni halali mwanamke kununua shamba bila kumwambia mumewe?

    wana JF. mke wa kaka yangu, kanunua shamba kwa kificho bila kumwambia mme wake, baada ya siri kufichuka akadai kuwa ame mnunulia mdogo wake wa kike ambaye hajaolewa na umri umekwenda. sasa ugonvi umekuja kwamba kwanini afiche mumewe? na hela kazitoa wapi? hivyo basi kaka anataka kumpa taraka...
  12. Y

    Mama ni dhahabu ukimkosa utapata shida; ahimidiwe mfariji wetu Mungu wa mbinguni

    Mungu akubariki Dada, ingawa ujumbe wako umenipa machozi kwa dakka flan hivi, baada kumkumbuka mama yangu mzazi niliye mpoteza mwaka 1998 mikononi mwangu live. Nakukumbuka sana Mama yangu haswa neno la mwisho ulilo niambia kabla ya kuondoka. Uliniambia :Mshike sana Mungu usije ukamuacha katika...
  13. Y

    Shamba linauzwa heka 15, wilaya ya Kibaha vijijini, km 130 kutoka Dar es salaam

    mkuu kwa hiyo ukisikia bakhresa ana kesi hivyo unaogopa kufanya kitu cha maendeleo? nafikiri kinacho takiwa ni kujiridhisha kuanzia serikali za mitaa mpaka wizara ya aridhi kabla ya kufanya manunuzi. na pia utapeli wa maeneo umejaa sana kila kona ila haiwezi kuwa sababu ya kuongopa na kutofanya...
  14. Y

    Shamba linauzwa heka 15, wilaya ya Kibaha vijijini, km 130 kutoka Dar es salaam

    kweli mkuu kuna makosa kidogo, barabara ya lami unaiachia vigwaza. ni kama Km 86 kutoka dara, kwa sababu kutoka vigwaza mpaka chalinze kuna 28 km. asante mkuu nita edit muda si mrefu
Back
Top Bottom