Mkuu wewe ambaye familia yako iko hapa Tanzania umefanya nini kuhakikisha wanapata mahitaji yao muhimu!? Aidha, nini unaweza kujivunia kuwa umekifanya kwa nchi yako tangu uanze kuishi hapa Tanzania?
Mtu kuchoma nguo yake aliyonunua yeye au kupewa wakati ni kosa? Hawa kuona sababu ya kuendelea kukaa
nazo, pia, kutoa msaada kwa kitu unachoona hakina maana kwako siyo tu ni vibaya Bali haitakiwi kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.