Recent content by Y2J

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Katiba bila elimu ni kazi bure haitatusaidia

    Katiba ya sasa bado ni nzuri sana tu kwa sasa tuwasaidie watu wetu kipata huduma zote kwa viwango vizuri Chini ya Serikali ya CCM
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Trump ni habari mbaya kwa Tanzania na serikali ya CCM

    teheteheeee
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Trump ni habari mbaya kwa Tanzania na serikali ya CCM

    Ni hv ndg hebu tuachane na hayo kwanza kwa leo ila mm naona vyama vya upinzani bado sana kwa sasa maana wanayoyapigia kelele wao kwao ndo changamoto sugu!
  4. Y

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ina wanachama laki nne tu Nchi nzima

    Wameingia baridiiiii
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Trump ni habari mbaya kwa Tanzania na serikali ya CCM

    Labda nikuulize ww
  6. Y

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunamshukuru Rais Samia kwa ushindi wa Trump

    Dr SSH ni mwanadiplomasia mzuri sana tumpe mtu maua yake akiwa hai siyo unafiki wakati hayupo duniani......Kidumu Chama dume Cha Mapinduzi.👏👏👏👏
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Trump ni habari mbaya kwa Tanzania na serikali ya CCM

    Uzuri wake ni upi
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Trump ni habari mbaya kwa Tanzania na serikali ya CCM

    Wala CCM haina tatizo labda wale akina ....wanaosapoti ushoga na kukimbilia nje ya nchi
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushinda kombe la TOYOTA Yanga ombeni udhamini wa TOYOTA

    Hivi ni Toyota au Mpumalanga
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tundu Lissu kuondoka CHADEMA?

    Hana nguvu ya kumtoa DrSSH tuone tuombe uhai tu! Nimekaa hapa
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Sawa mmeichoka CCM, je mbadala wao mna waamini!?

    Ukweli mtupu
  12. Y

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiukweli 2025 simuoni Rais Samia akishinda kwenye Boksi la kura kama upinzani wakiweka mtu mahiri

    Wapinzani hawana wagombea mahiri ni porojo tu nte nimekaa hapa
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa Halmashauri Jengeni Vituo vya Bodaboda: Mhe. Mchengerwa

    Toa mawazo yako siyo kulalamika halafu usichukulie negative kila linalofanywa na serikali
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Kauli ya mkuu wa mkoa Chalamila, kwenye mgomo wa wafanyabiashara ilimrudishia Yusuf Manji maumivu makubwa sana

    Hakika kuna wakati napata ukakasi na kauli za huyu jamaa RC wa Dar🙃🙃
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kenya (Gen Z) sasa mnataka nini?

    Ok sawa kwa akili yako nani atafidia uharibifu huo? Kama si walewale wananchi kwa kodi zao? Jiongeze🙃
Back
Top Bottom