Recent content by xxxyyy

  1. X

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kuhusu kujiendeleza kielimu na kazi pia

    Mimi ni kijana, Elimu yangu ni Bsc degree Infomramtion Technology (IT). Nimefanya kazi za IT upande wa technical kwa miaka 4. Sasa naona wakati umefika wa mimi kujiendeleza kielemu ili niachane na kazi za technical. Msaada wa mawazo kwenu nyote hasa wale ambao mmenitangulia kielimu na kikazi...
  2. X

    JamiiForums Tanzania Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

    Namuonea huruma huyu the second dada, maana adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie. Make sure she will be safe and fully protected. hiyo ni vita umeanzisha.
  3. X

    JamiiForums Tanzania chumba cha kupanga

    nimekupata, nitakutafuta tuongee mkuu.
  4. X

    JamiiForums Tanzania chumba cha kupanga

    Asante kwa ushirikiano wako, to be honest nyumba kwangu ni kubwa sana na siwezi kuafford that price.... ndo kwanza nayaanza haya maisha! ninahitaji chumba tu au chumba na sebule but this will depend on the renting fee to whoever is concern.
  5. X

    JamiiForums Tanzania chumba cha kupanga

    Tank bovu, mikocheni (kuanzia kituo kinaitwa chama hadi driving)
  6. X

    JamiiForums Tanzania chumba cha kupanga

    Ninatafuta selfcontained room ya kupanga
  7. X

    JamiiForums Tanzania Hello

    I am a new member inside JF, warmly welcome me please ......:smiling:
Back
Top Bottom