Recent content by xxtycoon

  1. xxtycoon

    Historia ya ubashiri duniani

    Je, huwa unafanya ubashiri? Ubashiri ni mfumo wa utabiri wa tukio fulani kuchukua nafasi katika wakati ujao. Historia ya kufanya ubashiri ni ndefu zaidi kuliko inavyofikiriwa na wengi. Ubashiri umefanywa kwa muda mrefu katika historia ya zamani kwa kutumia njia nyingi tofauti. Katika dini...
  2. xxtycoon

    Unaijua Simba? Mnyama…

    ee ndio nimewapata hapa kumbe ni sokabet africa ngoja niweke mkeka
  3. xxtycoon

    Unaijua Simba? Mnyama…

    Ifike muda tukubali kuwa Simba SC ni timu kongwe na bora ila wale wengine ni timu kongwe. Sasa cha kushangaza leo kwenye pita pita zangu nimeona kuna kampuni ya kubet imeipa odds 20 kama Simba SC watashinda mechi ya leo! Naombeni mnisaidie kuitaja nimesahau jina!
  4. xxtycoon

    Kati ya app ya SportPesa, Sokabet na Mbet ipi ina watumiaji wengi?

    Zingine zote ni nzito sana. hapo unyama ni app ya Sokabet Africa... yani ukigusa tu imoo 🔥
  5. xxtycoon

    Umuhimu wa michezo ya vikaragosi (virtual games)

    1. Kuongeza Ujuzi wa Kisaikolojia: Michezo vya kielektroniki, mfano Spin&Win huchangia kuimarisha ujuzi wa kisaikolojia kama vile kutatua matatizo, kufikiri kwa uangalifu, na kufanya maamuzi. Wachezaji mara nyingi wanakutana na hali ngumu ambazo zinahitaji mpangilio wa kimkakati, hivyo...
  6. xxtycoon

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi jamani kwa mfano mimi nikataka kuweka ubashiri wangu leo kwenye mechi ya Burnley na Manchester City na ile fainali ya simba na yanga utanishauri nimpe nani na niweke ubashiri kwa kutumia kampuni gani yenye odds kubwa na machaguo mazuri ya ubashiri.
  7. xxtycoon

    Orodha ya njia tano za burudani nchini Tanzania

    Hapo kupiga pesa nashauri kipindi hiki ambacho maligi yamepoa wabashiri michezo ya casino.
  8. xxtycoon

    Orodha ya njia tano za burudani nchini Tanzania

    Hapa kuna orodha ya njia tano za burudani nchini Tanzania. 1. Kusafiri: Tembelea maeneo ya kuvutia kama vile Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Mlima Kilimanjaro, Visiwa vya Zanzibar, na Mbuga ya Wanyama ya Ngorongoro. 2. Kucheza michezo ya maji: Furahia shughuli za maji kama vile kuogelea...
  9. xxtycoon

    Tetesi za Fabrice Ngoma kutekwa na Simba

    ℹ️ Fabrice Ngoma si mchezaji tena wa Al Hilal SC, imethibitishwa. Kesi kutoka kwa kilabu haitakuwa suala kwani FIFA tayari imetoa idhini lakini bado Hilal hatakata tamaa. ℹ️ Yanga SC walikuwa wa kwanza kufanya mawasiliano na wakatoa fursa ya kumsajili Ngoma wiki kadhaa zilizopita kama...
  10. xxtycoon

    Simba SC Giant wa Tanzania Kimataifa

    Mapema sana toka jana
  11. xxtycoon

    Simba SC Giant wa Tanzania Kimataifa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. xxtycoon

    Tanzania imepaa hadi namba saba viwango CAF!

    Bora na wenyewe waisaidie simba maana walikuwa wanaipa simba kazi kubwa kuongeza point kila msimu peke yao [emoji106] big up
  13. xxtycoon

    Simba SC Giant wa Tanzania Kimataifa

    Kikosi cha simba kinazidi kupepea na kuitangaza Tanzania vizuri kimatafita ukiachana na kuwa vijana wengi pesa kwenye game yao dhidi ya horoya maana najua wengi waliweka Simba “Win”. Sasa Wachezaji wanne kwenye kikosi cha wiki na wawili kugombania mchezaji bora wa wiki baada ya mechi 5 ni...
  14. xxtycoon

    Manchester United vs Liverpool

    Sasa arseno tushajua anachukua kaka ila kuna ligi nyingi ndani EPL ndio ipo kwa man u tottenham Newcastle na Liverpool kuangalia nani atamaliza kwenye top four
  15. xxtycoon

    Manchester United vs Liverpool

    [emoji23][emoji23] UCL livapuli anajua atoboi hata klop alisema ni ngumu
Back
Top Bottom