mwenzako ameandika topic tofauti kabisa unaibuka na ukabila, km kwl we ndio mchaga unawaaibisha. kuna wakati nilisikia kilimanjaro inaongoza kwa kwashiakor ndio kina ww kumbe?
ingawa hakuna mtu moja anayeweza kutoa jibu la moja kwa moja ukisoma positive ideas na kuzichuja jibu laweza kupatikana tusisahau kupuuza matusi na povus. Competence ya walimu ni muhimu, mazingira ya shule za serikali, ingewezekana mishahara ya walimu ndiyo iwe inaongoza kwa ukubwa siyo...
Halafu unajiita babati, kwanza unaaibisha hilo eneo na watu wake. Mto mada amesema vizuri sana, acheni ulafi
na tena unaoharibu taifa letu. amua kimoja kuajiriwa au kujiari mnamwibia mwajiri wenu (serikali) na hamwuwatendeeni haki watanzania mmekuwa sehemu ya mafisadi. Km Mwl wa university...
Wivu ktk kt gani? km hujui ukweli kuwa mkoa wa Kilimanjaro ndio wenye shule nying za kitaifa na za taasisi ya dini nikusaidieje, kwa mttanzania mwenye uelewa wa kawaida anayajua hayo. ugonjwa unaowasumbua wachaga ni kupenda sifa tena za kijinga, mara matajiri, mara wana IQ kubwa, mara wamesoma...
we uliishia la ngapi, hv km mchaga mwenye akili ndio km ww uliowaacha kule vilabuni wanafananaje? kwa taarifa mkoa wa Kilimanjaro tangia zamani ndio wenye shule nyingi za kitaifa kuna mikoa haina ht shule moja ya kitaifa. so wale wale watz siyo wachaga usibanwe sn nyie uwezo wenu ni wa kawaida tu
mikoa mingine ilishawahi kushika nafasi za kwanza kwa kubadilishana. kwanini kwa Kilimanjaro inakuwa issue kubwa? ni ulimbukeni na roho mchafu wa kibaguzi. shule nyingi ndani ya mkoa huo ni ama za taasisi za dini au za kitaifa, si za kata, nenda kazicheki vizuri na zimejaa watanzania siyo...
Punguzeni ushamba, watu waliosoma na wenye akili hawawezi kuwa na analysis ya kitapiamlo km hii. wanaosoma shule zilizo ndani ya huo mkoa siyo wote ni wenyeji wa huko, ni watanzania kutoka mikoa mbalimbali, ukweli ni kwamba mmelost mnajaribu kiki za kijinga bila kujua mnazidi kujidhalilisha
Huyu Manager wa Tanroads mkoa wa Arusha sijui anafikiri mkoa wake wote una barabara za lami? Barabara ya kutoka Karatu mkoani Arusha kuelekea Mbulu mkoa wa Manyara ni mbaya sana ni mashimo matupu na rasta kilichobaki ni wajawazito kujifungua njiani kabla ya muda wao kufika. Huyu jamaa aitwaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.