Recent content by Xotae Park

  1. Xotae Park

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

    Hii Dunia ina mengi kweli watu ni visa na mikasa na vile vile watu ni story na dunia imejaa machaguzi umeamua kuwa mbinafsi tu. Kuna wakati huyo little one naye atahitaji nduguye naye atakuwa aishi maisha ya upweke na kutoa simulizi zisizo za kweli. Kwenye kuwakuza hawa little children chukua...
  2. Xotae Park

    JamiiForums Tanzania Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

  3. Xotae Park

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nini maana ya huu mchoro wa Kipanya wenye bendera ya CHADEMA?

    Ni mtazamo tu mchora katuni kabla ya huo kulikuwepo na huu pia. 🤔🤔🤔
  4. Xotae Park

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu kwanini inagawa namba zilizokuwa zimesajiliwa kwa watumiaji wengine?

    HalotelTz na Airtel Tz ndiyo wako na huu ujinga tu
  5. Xotae Park

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama VS mpenzi wangu

    Ulivyoona majibu ya huyo GF wako yako hivyo. Ungepigia hudumu kwa wateja kusitisha huo muamala haraka sana.
  6. Xotae Park

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea katika mitandao ya simu?

    Hizo mambo za sms za kutuma kwenda namba fulani zimebaki kwa Mitandao ya Airtel na Halotel kwa sasa system zao bado hawajaziweka vizuri. Kuwa tu makini.
  7. Xotae Park

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake acheni kuamini ushirikina

    🤔🤔🤔🤔🤔 Shukuru sana kwa kuliona hilo mapema na bado mnaendelea na mahusiano?
  8. Xotae Park

    JamiiForums Tanzania Namuhitaji Mume Mkristo, awe na nia ya kuwa na familia

    Yote kwa yote kila la kheri kwako. Pia usisahu kufanya ibada na kushukuru kwa kila hatua wapo wengi wenye sifa hizo ila kukutana nao vile kuna kaugumu fulani hivi. Ila naami utampata.
  9. Xotae Park

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani kuna wanaume watamu sana

    Hongera kwa kupata furaha ya utelezi na kusikishwa mount Kilimanjaro.
  10. Xotae Park

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kujiungamanisha na Mwamposa!

    Rejea huo waraka wa [Marko 13:22] alafu omba roho wako mtakatifu akufungue na akupe maarifa ya kuelewa vizuri zaidi.
  11. Xotae Park

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika

    Taarifa yako mbona haijakamilika. Tuliza akili andika ujumbe wako vizuri.
  12. Xotae Park

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haioni kabisa umuhimu wa kuwatazama watumishi wa chini kama wauguzi, madaktari, polisi na waalimu?

    Hongera sana kwa waraka, ila ukweli usiopingika hizo kada zimejaa uoga mwingi sana na vyama vyao havipo kwa ajili ya kutetea maslahi vipo kama vile money monger
  13. Xotae Park

    JamiiForums Tanzania Kwa Mfanyabiashara Anaeweza Kuzalisha 1m kwa Mtaji wa 5m kwa wiki

    🤔🤔🤔🤔🤔 This is very fan. Hujawahi kutokea hata ukiiweka fixed account huwezi pata hiyo profit. Anza kidogo kidogo na pesa yako hiyo. Vitu vikubwa huanza kwa udogo na kubadilika kwa ukubwa. Ni hayo tu kwa leo JF.
  14. Xotae Park

    JamiiForums Tanzania Kwa mshahara huu ungekuwa wewe ungebaki na shilingi ngapi kila mwezi?

    Kama siyo mtu wa kuvimba na starehe za hapa na pale kwa mahitaji ya hiyo familia inaweza kufix baadhi ya mambo ila kuwa tajiri utahija nidhamu kubwa. Kwa wale wa kuvimba na starehe na totoz hapo bado sana.
Back
Top Bottom