yeap kaka kwa watu wa kada ya afya waalishaitwa tokea siku nyingi walifanya interview november mwaka jana ........
ila kwa tetesi wengine wataanza kuitwa chuo kitakapofunguliwa na wanafunzi kulipa ada ili muwezi kulipwa hela za kujikimu kaka.....
vuta subra kaka ila endelea na ishu zako huku...
dah hawa watu wanaongoza hii wizara ni janga la taifa
kwa vile wao hawatibiwi kwny hospitali za umma ndo mana wanafanya hvyo huwezi kuongea hata siku moja kuna upungufu wafanyakazi wakelewa ....mtaani kuna madaktari wengi sana lakini hawataki kuajiri ...
ukiuliza utaambiwa bado vibali...
Ndugu yangu
Hii ni tanzania na ni ya wachache wewe mnyonge na mie tutaendelea kuugulia tu hapa...
Atakuwa vp na msimamo mkali wakati walimweka hapo madarakani ni washkaji zake na walitumia hela nyingi sana? Je watazirudisha vp hela zao pasipo kuingia mikataba yenye utatanishi ??je watazirudisha...
Sijui watu wengine wakoje et machadema kweli??
kweli weww unaona uchadema hapo au ?haihitaji elimu ya sekondari au chuo kujua kuwa wanakoendelea kutupeleka jamaa ni kubaya
We utaishia kisema kachademu huku unalala njaa na kesho hujui utakula nini...kila siku ukiamka afadhali ya majuzi ile...
Hizo ni siasa tu kaka
Waziri alikuwa anajibu swali bungeni tu kaka ni porojo tu pale hamna kitu wewe tafuta chuo ukafundishe sio lazima upractice mdcn kaka unachezea bongo..liwalo na liwe kaka
1;-Monitoring and evaluation officer
2;-NMSF grants coordinator
Applications should be addressd to
Executive chairmain
Tanzania commission for AIDS
P O BOX 76987 DSM
Deadline 2013.05.03
Mwajiri
Bank of baroda tanzania ltd
1;-branch head
2;-senior manager
3;-secretary to managing director...
Jamaa wametoa kazi kupitia gazeti la serikali daily news la leo hii 2013.04.15
1:-monitoring and evaluation (M&E)
2;-public financial manager
Deadline ni april 30-
Kwa maelezo zaid ya sifa kamata nakala yako ya daily news faster bila kuchelewa...
Best of luck
..wakubwa kazi hamna kwa sasa wizara haihitaji wafanyakazi
kama kweli ingekuwa inahitaji tokea wengine mmemaliza internship zenu tokea mwaka juzi mngekuwa mpo mtaani bila kazi??dah hii ndo tanzania liwalo na liwe ndo mana ya ule msemo aliosema bungeni
Mkuu unayeukizia jkt..kuna information ambazo nilizipata kwamba hawa jamaa wanarecruit kwa sasa madaktari tu pekee yao na wako willing kuchukua hadi watu 200kwa sasa ...
Nadhani wanataka watu wa kuwapeleka darfoo na congo mashariki . Africa ya kati na sasa mali kwa ajili ya kutibu majeruhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.