Recent content by xhion

  1. xhion

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Daktari......

    Habari Bandugu, naombeni mnisaidie, ni hospitali gani naweza kumpata Dr. Milali? Nimesikia ni Daktari mzuri wa ngozi.
  2. xhion

    JamiiForums Tanzania Nani anasema lady jaydee kafulia?

    Hahahh! Ndugu yangu umenichekesha sana eti " nyimbo ikatumike mashamba ya mpunga" duh nimecheka sana
  3. xhion

    JamiiForums Tanzania Natamani Wabunge.......

    Ni huzuni sana. Natamani Nyerere angefufuka
  4. xhion

    JamiiForums Tanzania Natamani Wabunge.......

    @ Muuza Ubuyu inabidi nianzishe katiba yangu. Umenichekesha sana ndugu yangu.
  5. xhion

    JamiiForums Tanzania Natamani Wabunge.......

    NATAMANI kungekuwa na sheria kila Mmbunge ni lazima aishi kwenye jimbo lake. Jimboni kwake awe anaondoka pale panapokuwa na ishu za kikazi au likizo. NATAMANI wabunge wangekuwa na uzalendo na kujua pale bungeni wako kwa ajili ya wananchi waliowamini na kuwapa kura ili wakawatetee na kutumiza...
  6. xhion

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Asante ndugu nitafanya hivyo
  7. xhion

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Uzito wake its like kg 50, yuko bukoba kwa sasa ila anategemea kurudi mwezi ujao. Unatiba yoyote ndugu yangu? Nitashukuru
  8. xhion

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Habari bandugu. Naomba msaada au ushauri, nina mtoto wa kaka yangu mwenye umri wa miaka 22 yeye amekuwa na tatizo la kujikojolea kitandani nyakati za usiku. Tatizo hili analo kwa muda mrefu na wazazi wameliangaliakia kwa muda bila ya kupata ufymbuzi. Wazazi walifanya siri muda wote ila ndugu...
  9. xhion

    JamiiForums Tanzania Tuwe na ikulu mbili moja airport na nyingine ya magogoni

    Hahah! Its sound good. Umenichekesha sana. Inabidi tuipeleke hii mada bungeni
  10. xhion

    JamiiForums Tanzania BBC: Rais Kikwete aruhusu Majasusi kutoka nje kuja kuchunguza mauwaji ya Viongozi wa Dini Zanzibar

    Hahahh! My ribs. Yaani unataka na Raisi pia atoke nje. Duh nimecheka sana. JF daima
  11. xhion

    JamiiForums Tanzania It's time for jk & jz on dance

    Inapendeza. Kwa wakuu nao kupata muda wa kuenjoy. namuona mr Zuma anayarudi kweli sijui ndio mambo ya kwaito. Ingependeza sana kama ingekuwa Video
  12. xhion

    JamiiForums Tanzania Television ya Taifa la Tanzania haina habari juu ya Mauaji ya Askari Dar na Mchungaji Buseresere

    ITV hawakuonyesha tukio kwa kuona/pichq but waliitangaza unless kama hukuangalia taarifa ya habari ya saa mbili mpaka mwisho
  13. xhion

    JamiiForums Tanzania Television ya Taifa la Tanzania haina habari juu ya Mauaji ya Askari Dar na Mchungaji Buseresere

    Ni huzuni na aibu kwa TV ya taifa kutotangaza maafa au matatizo ya taifa. Tena ilikuwa inapaswa wawe wanaonyesha live. Alwayz wako behind,
  14. xhion

    JamiiForums Tanzania natafuta muongozo wa kupata kaz

    Document Details | TANGAZO LA KAZI Januari 2013 - http://www.ajira.go.tz/index.php?option=com_docman&task=doc_details&Itemid=0&gid=117
  15. xhion

    JamiiForums Tanzania Tractor

    Habari ndugu, naomba msaada kuna mtu yoyote anaweza kujua ni wapi naweza kukodisha Tractor. Ningependa kupata sehemu ya Mkuranga. Nitashukuru
Back
Top Bottom