Recent content by Xfile

  1. X

    Soko la kuku wa nyama bloiler kwa Mwanza lipoje?

    K Habari, nimeona post yako wakati natafuta supplier wa kuku kwa mwanza. Je unao hapo mwanza?
  2. X

    Tupeni mrejesho mliowekeza kwenye mashamba ya miti

    Habari ndugu zangu. Kwa katika forum hii kuna mijadala mingi kuhusu kilimo cha miti ya mitiki ambayo inq miaka zaidi ya mitano sasa. Nimeona kuwa itakuwa na tija sana kama kuna mtu alianza kilimo cha miti hii zaidi ya mwaka mmoja hadi sasa. Tunaomba atueleze kwa ufupi changamoto za kuanza zoezi...
  3. X

    Web disigners/web developers na Bloggers tafadhali nisaidieni.

    Kazi yako ni nzuri ila kuna vitu ni vyema ukavifatilia 1) User interaction No contact form. ni muhimu kukawa na contact form badala ya mteja kukopi email yako na kukutumia ujumbe. Katika site yako chini katika footer kuna neno "contact" lakini linki ile haiendi katika contact page Huu ni...
  4. X

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    13 business ideas generating machines, Rich dad poor dad, The 4-Hour Workweek, millionaires fastlane, Rich dad poor dad
  5. X

    Nini tunajifunza kutokana na kuliki kwa taarifa za NSA toka kwa Edward Snowden?

    Hii ndiyo changamoto tunayokutana nayo katika kuelekea ufanisi kwa upande wa tehama Tanzania.
Back
Top Bottom