Recent content by Xero Brain

  1. X

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

    unataka awe nani mwingine? Na cdm ndo mpinzani mkuu.
  2. X

    JamiiForums Tanzania Jicho Pevu: Kilicho nyuma ya pazia kwenye mlipuko wa bomu mkutano wa CHADEMA Arusha

    Lengo la mabomu ni kuwatengenezea wananchi woga wa kuhudhuria mikutano ya cdm, kumwua mbowe au lema kungeufunua ukwel nani anahusika. Na kama cdm wanahusika then vyombo vya usalama vinashindwa kuwatia mbaroni wahusika hii inamaana cdm ndo wanaoitawala nchi. Binafsi siamini hivo maana najua...
  3. X

    JamiiForums Tanzania Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

    stagnant thinking...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Jane wa Mwenge kwa mlio lala nae

    Nipo njiani, naelekea angaza.
  5. X

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa aporomosha matusi kuhusu suala la njama la kumuua Zitto

    Shonza noma kweli, ulipanga mageuzi ndani ya chama! Kamata weka ndani. Afu sisiem inamaana tunamgwaya Dr. Slaa kuliko hata CHA.DE.MA? Akigombea urais Mnyika si ndo magamba tunabanduka!
  6. X

    JamiiForums Tanzania Ludovick Joseph: Kilio cha usaliti - Sehemu ya pili

    Tunachotaka ni chama chenye maslahi kwa watanzania walio wengi, ku-sacrifice wachache kwa manufaa ya wengi kunafanyika nchi yyt duniani. Sisiem mme sacrifice wengi kwa manufaa yenu wachache. Halafu haya yote ungewaeleza watanzania mapema wangekuelewa sahivi wataona kama taarab vile pia una...
  7. X

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini ukihoji mambo fulani juu ya Dr. Slaa na Mbowe unaonekana msaliti?

    People claims for changes! Watu wameichoka sisiem na si kwamba wanaipenda sana Cdm ila wanachotaka ni mabadiliko.
  8. X

    JamiiForums Tanzania Bila kumkamata huyu, siri za kutekwa Kibanda hazitajulikana

    Inamaana polisi wanaweza kukamata mtu kwa umbea ulioletwa JF. Report polisi km unawajali wanatanzania, vinginevyo mnafiki tu.
  9. X

    JamiiForums Tanzania Nakala ya karatasi na mwandiko wa Lwakatare wakati anatoa maelekezo hii hapa

    Hivi ni lazima nikiwa sisiem ni-act as an idiot!
  10. X

    JamiiForums Tanzania KUFUNGIWA REDIO IMAAN NA NYINGINEZO: haki haijatendwa!

    Mi mpagani, acha niondeke nasubiri mzinguane niwachape wote.
  11. X

    JamiiForums Tanzania The guide: Ukishaamua kuwa na 'nyumba ndogo'

    Napita....
Back
Top Bottom