Tulivotoa msaada wa mahindi kwa waathirika wa kimbuga Msumbiji na Malawi mbona tulimake headlines kwa kujitangaza kwenye vyombo vya habari, tukawa kwenye level za ''donor country'' ilihali tumetoa msaada kwa wahanga mbona haikuwa nongwa, au utasema hatukubandika mabango, wakitubandikia sisi...
Binafsi sioni kama kuna tatzo lolote kuweka mabango ni nani kasaidia, kwani ni ukweli usiopingika tunahitaji misaada yao. Mabango yangekuwa na tatIzo kama yangeathiri huduma zinazotolewa kupitia msaada wanaoutoa, kwa mfano kuweko kwa bango library chuo kikuu udsm kuwa ni msaada wa China hakuna...
Nina tafuta kazi ya ualimu kwa wenye shule binafsi, tuition centres kwa level ya elimu ya msingi na Secondary (ordinary and advanced level), ni mahiri kwenye somo la geography na literature. Pia nina uwezo wa kufundisha masomo ya History na Biology. Niko competent kwenye hayo masomo tajwa...
majukumu ya kazi uliyoyaainisha na kiwango cha mshahara havina uhusiano, ushauri ongeza kiwango cha mshahara tofauti na hapo unachokifanya ni unyonyaji dhahiri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.