Recent content by xenaxena

  1. X

    Zitto Kabwe: Tundu Lissu asema ''sikati tamaa na watanzania''

    Siku zote LISSU amenafikikuwa mtu wa watu,ccm acheni u
  2. X

    Pendekezo kwa Wizara ya Elimu: Walimu wafanyishwe mitihani wachujwe na shule za kata zipunguzwe

    unaweza kuwa umepatwa na ugonjwa wa kukosa kumbukumbu,nilini walimu wa shule za msingi na sekondari wakawa na tatizo la elimu?,UNAPOPATA AJIRA unategemea kuhakikishwa maisha yako ya kila siku haiwezekani ukawa mtu wa akukopa na kucheleweshewa hela za likizo na hela za kupanda madaraja.Kuna...
  3. X

    Wakili wa kujitegemea, Awadh A. Said Zanzibar atoa ufafanuzi wa kauli ya Prof Kabudi kuhusu mamlaka ya JMT kwa Zanzibar

    wazanzibar wanatawaliwa na bara,na nibahati mbaya wanakaliwa kijeshi tu,wanachotakiwa kufanya nikuamua je waendelee na tabia ya kupewa madaraka ya kulindwa kama jinsihistoria ya Bwana Bargash alipopewa cheo na kulindwa ili asipinduiwe,wanaweza kuamua kufa na bara au kupambana kutoka mikono ya...
  4. X

    Mbeya: Kesi ya Joseph Mbilinyi(Sugu) na Masonga yaunguruma! Warudishwa rumande mpaka Februari 9, 2018

    hoja za kutunga zitawatokea puani,Makonda anasema wabunge wa upinzani wanapiga kelele tu yeye anajenga ofisi za walimu atuoneshe jengo gani na kwa fedha gani anazotumia kuyajenga kama sikulazimisha watu x kuchangia?
  5. X

    YAMETIMIA: Lissu atembelewa na viongozi waandamizi wa Umoja wa Ulaya(EU) hospitalini Ubelgiji

    tunaelekea kuingia kwenye zama za giza ambapo hakuna maendeleo bali watwala wakila mezani na watoto wao wakistarehe Enzi ya mfalme wa ufaransa imekaribia kuenea Dunia yote ili turudi kwenye mapindunzi ya viwanda (RENAISSANCE PERIOD)
  6. X

    Kagera: Mgombea udiwani wa CHADEMA kata ya Buhangaza aliyetoweka, apatikana akiwa hajitambui, CHADEMA walia na Polisi

    ccm inahfu gani?,kama chama kinauhakika tangu 1961 kinajua kuwa kimewapatia wananchi wake maendeleo kwa nini kinapepesuka?HADI kuteka wagombea wa chadema
  7. X

    Mbunge Upendo Peneza kuwasilisha hoja binafsi Serikali itoe taulo za hedhi kwa wanafunzi

    Nikweli kabisa suala la mabinti linahitaji uangaizi mkuuu hongera Peneza
  8. X

    Carl Peters Mkono wa damu na koloni la Tanganyika

    MKONOMKmkono wa damu hauwezi ishia kwa Tip Tip kwa kuwa roho hizo zipo
  9. X

    Pengo ana kadi ya CCM? Si mbaya. Je, anayofanya na kusema ni kwa manufaa ya nani? Anawafarakanisha Wakatoliki

    amep oteza mwelekeao au anataka kuturudisha enzi za utawala wa chuma unaozungumzwa na ulikataliwa na warumi wenyewe miaka ya 456 BC?
  10. X

    Polisi: Tunamtafuta Askofu Kakobe maana amekuwa akitoa maneno ya kashfa katika Mahubiri yake

    aina ya watu,aina ya utamaduni na kiwango cha elimu zao ndio kinaamua kiongozi yupi anawafaaa!
  11. X

    Polisi: Tunamtafuta Askofu Kakobe maana amekuwa akitoa maneno ya kashfa katika Mahubiri yake

    kama kweli wanaserikali imara waache wakosoane kwa hoja mezani natoa ushauri mkulu awaite wapinzani wajadili hoja kwa hoja mezani tuone 1
  12. X

    Unadhani kwanini CCM wanataka mwenyekiti wa CHADEMA abadilike lakini si wa TLP au John cheyo?

    wnataka mtu anayefika bei,tangu kuanzishwa chadema .cuf,NCCR mageuzi ccm imekuwa na mikakati ya kuvifanya vyama vya upinzani viwe dhaifu ili iweze kuendelea kutawaa,sasa ilifanikiwa kwa TLP,NCCR,na vyama vya cuf vinatafutiwa nguvu ya kuviua LAKINI cCHADEMA NA CUFndio hofu yao ilipo kubwa!
  13. X

    Serikali yatishia kuzifuta Taasisi za dini zinazokiuka misingi ya kuanzishwa kwake

    ccm wajibu hoja kwa nini wanakiuka sheria kisa uzalendo?watuambie wako wapi kina SAANANE NA AZORI? Hayo mengine nivitisho tu Kakobe na kina Shayo wafutieni madhehebu tuone kama mtakuwa shimoni ama la!
Back
Top Bottom