GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,652
- 14,247
Tangu polycarp pengo awakane wenzie kipindi kile cha katiba mpya mpaka kuja kufarakana na gwajima wengi tulianza kuhisi kuwa ana tatizo kubwa. Ingawa wakatoliki wengi kipindi hicho walimjia juu gwajima sabab tu ya dhehebu lao na lake lakini ile ilionesha pengo anatumika na chama kwa maslah yake binafsi au watu flan.
Hili la kuja kuwapinga wenzake wanapotoa maoni wakati huo huo yeye akitoa maoni ambayo anataka wengine wayaone kama ndio msimamo wa kanisa ni jambo baya la kufarakanisha wakatoliki na madhehebu na dini nyingine.
Ni aibu kusema watumishi wa Mungu wasizungumzie siasa ikiwa wakati huo huo huwa tunawaomba watuombee na makanisani na misikitin tunataka waombee amani.sasa hawa hawa wanapotaka to preserve amani wanaonekana wanaingilia siasa.
Lakini tunasahau kuwa Yesu alikemea wanasiasa kwa unafiki wao. Tunasahau daudi,saul ,eliya n.k walijihusisha na siasa. Tunasahau Yohana alimkemea mwanasiasa mpaka akafungwa na baadaye kukatwa kichwa.
Ni mtu mpumbavu na lofa asiyejua kuwa hawa watumishi wa Mungu wao hawana mipaka.anayesema mchungaj au shekhe asizungumzie siasa huyo anafaa kuzomewa sana na kumwagiwa maji machafu ya mtaroni.
Muhamadi alijihusisha na siasa kwa kiasi kikubwa sana. Na ndo maana kuna aya lukuki ambazo zimezungumzia siasa akikemea na kuasa. Akili ndogo tu inaweza mtuma mtu kuelewa utawala wa kisiasa un athiri hata imani za watu.
Mimi sishauri mtumishi yeyote awe chama cha siasa. Nashauri watumishi wawe neutral ili wakemee pande zote. Wasije wakawekwa mifukoni na wanasiasa kama ambavyo tunaona ilivyo sasa. Tunajua pengo ana urafiki mkubwa sana na rais.sana.kiasi kwamba anatumia urafiki huo vibaya na kusahau maslah mapana ya watanzania.