Recent content by xavihernandezalcantara

  1. X

    JamiiForums Tanzania Msanii Wizkidayo

    Ngoma ya Drake aliyomshirikisha Kayla na Wizkid. Ngoma iitwayo One Dance imefikisha Streaming Bilion 2 kwenye mtandao wa Spotify. Unadhani Wizkid anahitaji pongezi kwa hilo?
  2. X

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa namna ya kufuta post zote za Instagram

    Huwezi kufuta Account ya I.G leo leo? Na ikafutika?
  3. X

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa namna ya kufuta post zote za Instagram

    Wadau habari za Asubuhi hope ni kwema,Poleni na majukumu. Kifupi tu nahitaji msaada jinsi ya kufuta post zangu zote za Instagram kwa pamoja. Post zaidi ya 900. Nafanyaje? Msaada plz #Forgive Me
  4. X

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kufuta akaunti ya Instagram

    Mpaka siku nikitaka kuirudisha? Ina maana sijafuta hapo mkuu au? Na vp mtu akinisachi kwa Insta yake ntaonekana? #Forgive Me
  5. X

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kufuta akaunti ya Instagram

    Ndugu poleni na majukumu, Naombeni msaada namna ya kufuta Account ya Instagram isionekane tena. Msaada kwa anaefahamu. Ni hayo tu. #Forgive Me
  6. X

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi ROHO 7

    sawa ndugu
  7. X

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi ROHO 7

    Hatari sana. kuna kitu katunyima sisi wa Hip hop lkn hamna namnaa
  8. X

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi ROHO 7

    Joel Lwaga_Sitabaki kama nilivyo isikose kwenye playlist hiyo
  9. X

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi ROHO 7

    Asante saana mkuu,jamaa ana flow kali kinoma...
  10. X

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi ROHO 7

    Sifahamu mkuu.
  11. X

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi ROHO 7

    Inamaana jamaa alitoa nyimbo mbili tu? Natamani kama kuna nyingine kali wadau waziseme. Jamaa namkubali kwa hizo mbili tu. Anachana sana na maneno anayotumia ni hatari no matusi🙌
  12. X

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi ROHO 7

    mkuu ipe sikio hiyo nakupenda hip hop ni hatari jamaa anachana sana,saana ipe
  13. X

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi ROHO 7

    Tafuta hizo ngoma mbili ni hatari
Back
Top Bottom