Recent content by Xavier Africa

  1. X

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji hawaoni aibu kutoa passport laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55?

    umeongea kwa uchungu na hasira sana mkuu
  2. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ni nusu pepo pasikieni tu kwenye redio

    landing mzee kujisahau tu
  3. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ni nusu pepo pasikieni tu kwenye redio

    nilitembelea miji miwili chicago na houston texas
  4. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ni nusu pepo pasikieni tu kwenye redio

    ni ake radhi mtumishi unanivunjia heshima sana
  5. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ni nusu pepo pasikieni tu kwenye redio

    sijawahi kwenda kwingine ila US i think is the best kwa kulinganisha na euro kwa kusimuliwa
  6. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ni nusu pepo pasikieni tu kwenye redio

    palepale kwa chini
  7. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ni nusu pepo pasikieni tu kwenye redio

    ni kweli ila nchi za ulaya nyingi kuna visheria vya ajabu ajabu mfano Norway huwezi tumia pesa nyingi upendavyo unawekewa limit ya expenditure kwa siku
  8. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ni nusu pepo pasikieni tu kwenye redio

    mimi nimetembea huko tu nika conclude
  9. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ni nusu pepo pasikieni tu kwenye redio

    nishamalizia story afu nitake radhi mkuu dunia iwe good place for living
  10. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ni nusu pepo pasikieni tu kwenye redio

    basi ngoja niseme ni pepo ya dunia wewe unazani kwanini marekani anapenda kuwapa bani watu kuingia kule maana anaijua ni kuzuri kupita nchi zingine zote
  11. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ni nusu pepo pasikieni tu kwenye redio

    mimi mvivu kuandika sana napumzika tu nafanya mishe zingine kwanza
  12. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ni nusu pepo pasikieni tu kwenye redio

    Binafsi nilikwenda USA mwaka 2013 wakati nimemaliza A level kwa mwaliko wa rafiki yangu mmishenari daktari. Nilikutana nae vipi huyu daktari? Stori inaanzia hapa.. Ilikuwa likizo shuleni na mimi sikutaka kurudi home nilikomaa shule ili nijisomee vizuri. Sasa nikawa asubuhi naamka napiga...
  13. X

    JamiiForums Tanzania Tv za Tcl Smart msaada wenu jamani

    ukiona fundi anakwambia hapo ni setting tu na haisett yeye jua magumashi hayo mimi demu wangu sijui kapiga windows wapi pc haishiki wi fi wala usb haisomi nikamwambia mpigie uyo alie kuwekea window mchizi anajibu hapo ni drivers tu hamna zidownload tu kasema manina zako kwanini usinge...
  14. X

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Mafia tunahitaji usafiri wa uhakika na bei nafuu

    kuna boat la tanesco linaperekaga mafuta kule ukilivizia unapanda unaenda nalo japo nalo chakavu tu
Back
Top Bottom