Niliwai kuambiwa kwamba sababu kubwa ni kuusisha na maswala ya dini hasa dini ya kikatoriki....kwamba muhusika rosa kwatabia yake....hakupaswa kupewa jina lile la kikatoriki....kufanya vile ni kuidhalilisha dini hiyo....xo iyo nisehemu ya arguement za washikaji zilizo changia kuzuiliwa kwa...
Unaliona hlo tu...je walio sain mikataba..je waliopewa kutathimin mwanzo dhen wakaja na result za uongo...halija kukela na kukushituka.....alichokisema lisu kinaweza kutokea(probably) coz ni ishu ya mkataba na mkataba unafungwa kisheria kwa pande zote kuridhia.......point ya msingi * kama taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.