Recent content by wwww

  1. wwww

    Utoto mitandaoni: Mnamu-overate sana Kagame, hawezi na hatoweza

    Wewe ndio mtoto, kama hujui Kagame ndiye Rais wa Tanzania kwa sasa. Hata walinzi wa Rais wanaovaa nguo za Kijeshi ni wa Rwanda sio Watanzania. Huyu Magufuli amwewekwa tu pale kama picha.
  2. wwww

    Humphrey Polepole: Rais Magufuli hafurahishwi na mjadala wa kuongezewa miaka ya Urais kutoka 5 hadi 7

    Mwambie kuwa Watanzania ni waelewa na wanajua kuwa yeye ndiye mwamzilishi wa mpango wa BAKI MAGUFULI na sasa mpago wa miaka 7
  3. wwww

    Waziri wa Mambo ya Nje, Dr. Mahiga mnasubiri nini kumtimua Balozi wa Marekani?

    Acha kudanganya sisi ni TUMBILI TU wala sio watu sawa na wazungu. Mambo yanayofanyika Africa si ya binadamu wa kawaida labda nyani
  4. wwww

    Mch. Francis Mbalase: Kama mnajua kuombewa mjue pia na kutubu

    Huyu ni kiongozi aliyeletwa kuliangamiza Taifa la Tanzania na muda ndio huu. Muda si mrefu tutafikia ilivyo LIBYA na Siria au Yemen. Niliandika siku moja humu kuwa ''YA BURUNDI, YA DRC, YA RWANDA, YA UGANDA NI SAWA NA YA TANZANIA moderator waliojaa uoga wakaifuta fasta. Lkn tambueni kuwa mtu...
  5. wwww

    OC CID asema Godbless Lema hastahili kuota ndoto

    Tumeamua kwenda huku waliko Waganda, Wanyarwanda, Wakongo Man na Wenzetu wa Burundi. Tutafika tu. Bado kitambo kidogo takribani miaka 24 (10 +14) tu kufika huko. Ibara za 40 (2) na 42 (3) zimepitwa na wakati sasa.
  6. wwww

    Baba Askofu Dr. Benson Bagonza: Tuheshimu nguvu ya hoja

    Kwa kusema kweli haya ni maneno ya busara lakini ya kujitoa mhanga. Nchi hii kwa sasa inawaka moto kimya kimya. Ndio maana hata makamanda wetu wamekufa huko DRC lakini hakuna mwananchi anayejali kwasababu inaonekana hii nchi kwa sasa ni watu wachache kwhy wameachiwa msiba wao waendelee nao...
  7. wwww

    Rais Mstaafu, Ali H. Mwinyi amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

    Huyu mzee hajashika sumu mkononi kumzuru Tundu wetu kweli? Lazima tuwe makini sana hapa. Kwanza nina wasiwasi na Makamu wa Rais Samia Suluhu kama hakuacha vimelea kule hospitalini na sasa na huyu tena aliyetangaza kuunga mkono Magufuli kutawala milele naye asiache sumu au vimelea pale kitandani...
  8. wwww

    Mambosasa: Kilichopelekea mwanafunzi wa UDSM akamatwe ni kusambaza uzushi mtandaoni

    Umewahi sikia kwamba mtu ana akili ya chupi? Asilimia kubwa ya viongozi wetu ndo wako hivyo.
  9. wwww

    Hivi Wanyonge ni wakina nani ambao Rais Magufuli anahudumia?

    Wananchi wa CHATO na RUANGWA kwani hujui?
  10. wwww

    SUMATRA: Marufuku abiria kuzungumza siasa, dini, biashara ndani ya basi!

    Wanaogopa kinachotokea Zimbabwe kisije kikatokea na huku kwetu.
  11. wwww

    Kinachoendelea Zimbabwe: Nchi yawekwa chini ya Jeshi, Mugabe kung'olewa?!

    Sijajua kama hapa kwetu pako salama. Kwa jinsi wanajeshi walivyo na tetesi tetesi zilizopo huko makambini kwamba Jen. Mabeyo anawatesa na kuminya haki zao huenda siku yoyote atafurumshwa yeye na aliyemuweka pale. Jeshi si la kuchezea Capteni tu wa Jeshi anaweza kumkimbiza Jenerali na vibaraka...
  12. wwww

    Zitto: Inawezekanaje Serikali ikasaini mkataba wa shilingi Trilioni 7 kujenga Reli na vifaa vyote vikatoka Uturuki?

    Hamjui kwamba anatengeneza hela chafu kwa ajili ya uchaguzi 2020? Ndivyo alivyoshauriwa na rais wetu kivuli wa Tanzania Paul Kagema
  13. wwww

    Uchache wa Magari ya Mwendokasi barabarani kutokana na mengine kuharibika na mvua, wananchi tunateseka

    Ndugu Watanzania wenzangu mnaotumia usafiri wa Mwendokasi na msiotumia kwa sasa hali ni mbaya sana kwa wanaotumia usafiri huu. BRT wameshindwa kabisa kutoa huduma ya mwendokasi na hawana kabisa mbinu mbadala ya kuboresha usafiri huu. Ukitembelea vituo karibuni vyote vya mwendokasi utakuta...
  14. wwww

    Mgawanyiko mkubwa ambao haujawahi kutokea umebisha hodi Tanzania

    Wajamani kwanini tusigawana tu hii nchi?
Back
Top Bottom