[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hizi stori za jaba kabisa, vile vijiwe vya watu wanatafuna mirungi [emoji23] [emoji23]. Kwamba eti anaweza kuongea Kifaransa, ati mzungu akaghairi ndege akaenda kumnunulia Cruiser! [emoji23] [emoji23]
Hivi wazungu mnawachukuliaje?
Hey wake up black African.
Toyota Camry- toyota kanmuri( Kijapani) , likimaanisha "Crown [emoji146]" kwa kiingereza( little crown).
Toyota Corona- Crown kwa kilatini.
Corollla- little Crown
Suzuki Kei- Keijidosha= light automobile.
Kwa magari yote madogo madogo yanayotumia mafuta kidogo yalitengenezwa kwa ajili ya...
Uzuri kuna manuals zake zote, owner's, service manual, repair and maintanance manual, yaani ni full documentation na mambo yanasonga. 2 yrs nimekuwa nikifanya hii.
Huyu atakuwa akichat na vijana wa Nigeria. Okay, kuwa makini hasa ukiletewa ishu za kutuma pesa kwa Western Union au Money Gram, hapo ujue ni "Red Flag", kaa mbali.
Kuna wengine wana similar cases za madem wa Kifilipino.
Pia wakati wa kombe la Dunia "France 98" kulikuwa na matangazo makali sana wakati ule, yakiwemo lile la Air Tanzania the Wing of Kilimanjaro, Kazi kazi la Tusker lager na lile la TTCL wakiachana na mfumo wa zamani wa kutumbukiza shilingi ili kupiga simu kwenye Phone Booth na kutumia kadi, Total...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.