Recent content by Worldboss

  1. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

    Huna muonekano alafu unataka mademu wakali lazima ugongewe
  2. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Bikra is Overrated

    Jamaa linakudanganya linajipanga litakuoa kumbe linakusogezea siku tu😂
  3. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Pendekeza wimbo tupate list ya Nyimbo 100 zinazoitambulisha Bongo fleva

    Nimeziadd tayari💥💥
  4. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Pendekeza wimbo tupate list ya Nyimbo 100 zinazoitambulisha Bongo fleva

    Sawa mkuu nafanyia kazi
  5. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Bikra is Overrated

    Mimi asilimia 80% ya wanawake zangu niliodate nao mpaka mke wangu niliyemuoa alikua bikra alafu mzigo ni yule asiyekuwa na bikra maana ndio anageuzwa geuzwa na wanaume hovyo kama samaki wa sokoni. Nilivyomkuta wife bikra siku ya ndoa nilimzawadia dhahabu.
  6. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Pendekeza wimbo tupate list ya Nyimbo 100 zinazoitambulisha Bongo fleva

    Kazi kubwa ilifanyika
  7. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Pendekeza wimbo tupate list ya Nyimbo 100 zinazoitambulisha Bongo fleva

    Nimeipitisha moja "zimbabwe" kwa ajili ya tukio lile lililomkuta roma japo zote mbili zina impact sawa katika jamii na ni classic songs lakini pia roma ameendelea na harakati zake mpaka leo hii inaonyesha alimaanisha alichokiimba.
  8. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Pendekeza wimbo tupate list ya Nyimbo 100 zinazoitambulisha Bongo fleva

    Starehe tayari ilipenya kwenye mkeka
  9. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Pendekeza wimbo tupate list ya Nyimbo 100 zinazoitambulisha Bongo fleva

    Mr nice atleast tupate zake mbili aingie zipi na zipi?
  10. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Pendekeza wimbo tupate list ya Nyimbo 100 zinazoitambulisha Bongo fleva

    Respect kwa waasisi
  11. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Pendekeza wimbo tupate list ya Nyimbo 100 zinazoitambulisha Bongo fleva

    Ni hatari hizi pini
  12. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Pendekeza wimbo tupate list ya Nyimbo 100 zinazoitambulisha Bongo fleva

    Wasanii kama banana zorro, stara thomas , bibi kidude, mr ebbo na hizi bongo fleva za sasa ?
Back
Top Bottom