Mimi nauliza pia je hizi kazi ambazo wanapewa wahindi, wakenya, wapakistani, makaburu, waarabu kutoka yemen, syria, waphilipino, hatuziwezi sisi watanzania.
Uchunguzi wangu emebaini kwamba kazi nyingi wanazo fanya wageni hawa sisi tunaziweza!!
Niambie watanzania hatuwezi kuwa shop assistants...