Hakika duniani unaweza hisi unamitihani ila kuna walio kuzidi ila nilicho jifunza ndugu ni wa kuwa nao makini na kukaa nao mbali sana sana huwa siyo watu wazuri.
Ndugu bangi haina madhara pia ni tiba ya baadhi ya changamoto ila ukizidisha ndo hukuletea maruwe ruwe inetegemea na familia na mifano tunayo mitaani kulinganisha na hili la afya ambayo changamoto zake ni mzigo kwa kila kona si serikali, familia au mtu mooja mmoja
ivi kwenye hili swala nani hasa wakulaumiwa? mana nijuavyo tbs ni msimamizi kwenye mambo ya ubora natamani kuelimishwa na kulielewa hili zaidi mana tunaweza laumu tbs kumbe kuna mamlaka pia ilipaswa kulipigania hili mana mwisho wasiku sote tutakuwa wahanga kama si wewe basi mmoja wapo wa...
naimani hata watangulizivwalio ruhusu izo ofisi wliliona hili mwanzo wakachukua hatu kupunguza usumbufu na kero za wakaazi wa dar ila naona tunataka kurudi kule kule tena dah😄
Huenda wakawa na mawazo mazuri ila waangalie athari zitakazo jitokeza mbeleni na kuleta matatizo nafkiri wangeboresha hayo maeneo na kuweka utaratibu mzuri ila si kuziondoa jumla mana athari ni kubwa kuliko maelezo mf: sinza au simu elfu mbili kwa miaka ya sasa biashara zimepungua baada ya...
kipi bora hizi biashara kwenye ofisi binafsi kufungwa na ajira ya zilizopo apo kupotea au kuweka stand sehemu moja ambayo ni so limited ambayo itazalisha jobless wengi ambao kwa sasa wengi wamepata ajira au kujiajiri kwa sasa pembeni ya izo ofisi kwa baadhi ya biashara zilizo rasimishwa rasmi...
aisee angekuwa anajua nidhamu ya muda asingesapoti hii kitu ni kumsamehe bure tu. mana hajawaza yale malri+ wakaazi wanaotoka katika shughuli jioni + wanaoenda kupokea watu jam yake itakuwaje kutikea mjini kuingia na kutoka mbezi. ni aheri wangeacha tu hivi hivi kiukweli imepunguza misongamano...
huwa wakinifwata nawauliza pale nimejaza tarehe ngapi na leo ni lini na siku ina masaa mangapi mwisho humpigia mmiliki na kuwa wapole tu. tofauti na hapo wanatafuta shari tu
unafanya vyema maana siku izi magonjwa ni mengi mengine wanayo ila hawajijui na hajui kwamba unamsaidia kung'amua asiyo weza yaona mwenyewe. jaribu kuomwelewesha hope atakuelewa
uzuri Condom ziliwekwa kwa jinsia zote pia mwanamke ndiyo mwenye maamuzi ya kubebeba minba au asibebe hakunaga mimba ya bahati mbaya kwa mwanamke elewa apo kwanza kama kweli unadhamira ya kuisaidia jamii. na mwanamke ndo huamua ambebee nani mimba siku zote tuache kutulaumu wanaume na kukwepa...
kama pesa ndo kigezo embu tuwaulizeni wenye hela ndoa zao zipo kwenye hali gani na kama hawagongewi kifupi niseme wanawake wakati mwingine hawajui wanataka nini ni nyakati na upepo ndo huamua juu ya hatma yao kiujumla. na sikio lake ndo humuamulia pindi akiitaji kuskia au shawishiwa na chenye...
Kuna dada mmoja kule tiktok kaongea kitu kimenishtua sana nikiunganisha na hii mada yako ndo nazidi pata wasiwasi na mienendo ya maadili ya wanaume yanavyozidi kupotea kiufupi wanaume tumebaki wachache sana. kigezo na sababu za kuchelewa ni kupima uanaume wako kama upo au lah😎
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.