Wakuu nimekutana na hii video katika mitandao ya kijamii na kudaiwa kuwa ni ya mtawala wa Mongolia (Black Khan) alipoitembelea China mwaka 1440 katika utawala wa Ming (Ming Dynasty).
Je, uhalisia upoje?
Hon. Kairu steps down from the governor aspirant position. Citing personal reasons;
"I have decided to step down from the governor race due to personal reasons.
I sincerely thank my supporters for the encouragement and unwavering support throuhout this journey"
Wakuu nimekutana na hii mtu kaandika huko X
"Inasemekana kuvuna maji ya Mvua ndani ya USA ni Kosa na unapigwa faini au kifungo.Mwenye anajua hii atuelezee please"
Akiwa katika yake Nsimbo, Katavi Waziri Mkuu amepokea malalamiko ya mwananchi aliyedhulumiwa eneo lake na kumtaja kiongozi mmoja wapo wa CCM kuhusika katika mchakato huo ambapo Waziri Mkuu ameagiza kiongozi huyo achnguzwe na akibainika ameshiriki avuliwe uongozi.
Amesema chama hicho siyo cha...
Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu Mwigulu ameonya pia mwenendo wa kulimbikiza migogoro jambo linalopelekea kwa kua migogoro hiyo inatishia undugu wetu kama Watanzania. Ameeleza kuwa wakati mwingine wanaosababisha migogoro hiyo ni watu walioamaniwa.
Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu ameonya tabia ya vituo vya afya kuwaagiza wanaanchi wakanunue dawa nje ingali nchi una utoshelevu wa dawa katika maeneo ya kutolea huduma za afya. Mwigulu amehoji duka la dawa linaweza kupata wapi dawa ambazo serikali haina?
Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu ameagiza wakandarasi wote wanaopewa miradi ya serikali waliolipwa fedha zao zote kisha wao hawawalipi mafundi (sub contractors) wasakwe, wawekwe ndani hadi wazitapike hizo fedha kwani jambo hilo linaichafua serikali kwa kuonekana kuwa hawalipi...
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amefanya ziara mkoani Katavi kukagua miradi mbalimbali iliyotekelezwa mkoani humo ikiwemo ujenzi wa shule na hospitali na kuelezea mafanikio yaliyofanyika katika kipindi cha uongozi wa awamu ya sita.
Waziri Mkuu ameonya tabia ya vituo vya afya kuwaagiza wanaanchi...
"Vyombo vya Habari vya Tanzania Vina hali mbaya kiuchumi ndio maana haviko huru, na kuna kundi la watu yanatisha waandishi wa Habari” Absalom Kibanda
Kibanda ameyasema hayo alipokuwa akifanyiwa mahojiano katika medani kuu na mwandishi Chief Odemba
A beautiful gesture of respect and gratitude. ristiano Ronaldo surprising the parents of Sadio Mané with a brand-new Mahindra Scorpio — a moment that shows true brotherhood and appreciation for the people who raised a legend.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.