Recent content by Wonder

  1. W

    JamiiForums Tanzania Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

    Poker umepotelea wapi mazee
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

    Nimeweka nukta hapa iendelee basi
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

    Story nzuri ikiendelea mnitag
  4. W

    JamiiForums Tanzania Sensa: Usiite watu kwenye interview ikiwa tayari unachaguo lako

    Nimelimwa kichwa huku najiona haya maisha haya daah..
  5. W

    JamiiForums Tanzania Jambo gani ambalo unatamani mno ulifanye/ulione kabla hujafa

    Natamani niweze kujisimamia kiuchumi n kuweza kuisaidia familia yng pamoja na kukidhi mahitaji yangu[emoji120]
  6. W

    JamiiForums Tanzania Nini kilikusaidia kupata kazi?

    Sina kazi mpaka sasa hiv mwaka wa tano huu nasota mtaani.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Mm ndo nimetoka kwenye usaili mda huu msijali maswali ni ya kawaida tu mtapita nyote
  8. W

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Asante kwa muendelezo ila inaonekana ndefu tofauti na ulivyohaidi
  9. W

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Asante kw mwendelezo mkuu si bado tumeunga folen hapa fanya uje umalizie
  10. W

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Tuko hapa tumeunga folen twangoja ukitud zenji
  11. W

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tulioishi familia za kitajiri ila sasa maisha yametuchapa

    Aisee pole sn mkuu shida ndo zinamfunza mtu namna ya kubehave upande wangu mm naona afadhali ya jana sijaona dira bado licha ya kukulia kwenye shida n kusoma kwa shida mpaka chuo kikuu ajira imekuwa kizungumkuti maisha bado ni magumu kazi hakuna.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Home theatre naomba msaada wenu

    Nafatilia kujua zaidi
  13. W

    JamiiForums Tanzania Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

    Stori nzur tunangoja episode zinazofuata ila rama duu gaid aliyeshindikana
  14. W

    JamiiForums Tanzania Hakika siku ya leo sitaisahau maishani mwangu

    Pole sn,it's true hali si shwari kwakwel huku mtaani japokuwa haisemwi wazi mi nko the same situation km wewe nimewapoteza Wapendwa wangu wawil kw mfululizo waliokuwa wamepata shida kwenye mfumo wa upumuaji, kushindwa kufanya kazi yake ipasavyo na kuwekwa kwenye mashine Wakati tumemaliza kumzika...
  15. W

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

    Hongera sn mwamba
Back
Top Bottom